Rwanda vs Uganda diplomatic tension still on fire / exist

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Yes wadau habari za jioni, Hii issue naona bado inaendelea maana PK juzi alikuwa ktk mkutano flani iv bado mzee akaonyesha uwepo wa tatizo na analaumu uongozi wa juu wa UGANDA hasa RAISI lkn pia Rwanda nimesikia imewaambia wanafunzi wa kinyarwanda wanaosoma Uganda wanapaswa kurudia masomo yao Rwanda eti sababu mihula ipo tofauti ...embu tazma hii link uone PK anavyo comment
 
Daah jamaa amehost delegation ya watu 1800 hapo Kigali kwnye hilo tukio la CEO panel.

For the mean time Pananukia ma USD tu pande hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
yap rwanda wana mipango ya kuifanya rwanda kuwa mwenyeji wa mikutano mikubwa ya kimataifa ...nadhani ni hatua nzuri sana kwa kukuza utalii maana watu 1800 mzee hapo ni mwendo wa dollari tu ...hapa bongo sijui tuna kwama wapi
 
Tuna resources nyingi mkuu,ndio maana hatujali sana.

Wao natural resources chache inabidi wajaribu ku-base kwny service industry,kipindi cha JK mwaka 2008 kulifanyika mkutano wa Sulivan Summit pale Arusha wahudhuriaji 1300 daah mjini biashara zilichangamka balaa kila kona ma-dolari tu.

Sijui kwanini hatukuendelea na spirit ile.

NO ndugu yangu lazima tubadilishe approach yetu yaani ni lazima Tz iwe vibrant ni lazima hizi fursa sisi tuzikamate ili kutangaza utalii wetu vizuri
 
Yes wadau habari za jioni, Hii issue naona bado inaendelea maana PK juzi alikuwa ktk mkutano flani iv bado mzee akaonyesha uwepo wa tatizo na analaumu uongozi wa juu wa UGANDA hasa RAISI lkn pia Rwanda nimesikia imewaambia wanafunzi wa kinyarwanda wanaosoma Uganda wanapaswa kurudia masomo yao Rwanda eti sababu mihula ipo tofauti ...embu tazma hii link uone PK anavyo comment

Huku nako namanga issue inaanza
 
Huku nako namanga issue inaanza
Namanga kuna saga gani au ni kile la bidhaa za kenya kupimwa ubora ? Kuna makala jana nilikuwa nasoma online la gazeti moja toka uganda ..mwandishi wa lile makala alilalamikia yakuwa viongozi wa nchi za afrika mashariki wanakasoro ktk kusimamia mkataba wa EAC alitolea mfano ya kuwa hata Kenya nanuganda wana mgogoro ambapo waganda wanaotaka kufanya kazi kenya wanasumbulia kupata work permit vivyo viyo kwa ugand na wao wana wabania wakenya kupata work permit nchini uganda hivyo mi nafikiri bado kuna kasoro ndanibya kila nchi
 
Alinitibua saana alipowakorofisha mpaka south Africa kisa sifa za kijinga kutaka NISS
Ionekane kama MOSSAD

Ila yupo vizuri anavyopambama na wafaransa

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Huyo bwana hua ana shida zake flani flani,kammaliza Karegeya hapohapo SA,kamkosa Nyamwasa mara 3 na mpk leo jamaa anaishi kwa wasiwasi baada ya hapo members kibao wa RNC walikimbilia Sweden/USA/Belgium.

Ili SA warudi kwny mahusiano mazuri walisema wanataka PK amrudishe jamaa mnyalu aliyefanya mchongo wa kumuua Karegeya hapo SA anaitwa (Apollo).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom