Rwanda, Tanzania and Uganda face US sanction after used clothes ban

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,486
3,468
Bandugu,
Kwa wale ambao wanaamini kwamba Serikali ya Marekani ni mdau wa maendeleo ya Afrika na Sehemu nyingine duniani- Hebu pitieni hapa
The U.S. Trade Representative said on Tuesday it was reviewing trade benefits to Rwanda, Tanzania and Uganda under the African Growth and Opportunity Act (AGOA) after a complaint by U.S. interests about an East African ban on imports of used clothing.

USTR said the “out-of-cycle” review was in response to a petition filed by the Secondary Materials and Recycled Textiles Association (SMART), which complained that the ban “imposed significant hardship” on the U.S. used-clothing industry and violated AGOA rules.

“Through the out-of-cycle review, USTR and trade-related agencies will assess the allegations contained within the SMART petition and review whether Rwanda, Tanzania, and Uganda are adhering to AGOA’s eligibility requirements,” USTR said in a statement.

The move follows a decision by the six-nation East African Community – Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania and South Sudan – to fully ban imported second-hand clothes and shoes by 2019, arguing it would help member countries boost domestic clothes manufacturing.

The USTR did not elaborate on why the three countries were singled out for review.

The AGOA trade program provides eligible sub-Saharan countries duty-free access to the United States on condition they meet certain statutory eligibility requirements, including eliminating barriers to U.S. trade and investment, among others.

U.S. AGOA imports from Rwanda, Tanzania, and Uganda totaled $43 million in 2016, up from $33 million in 2015, according to the USTR. U.S. exports to Rwanda, Tanzania, and Uganda were $281 million in 2016, up from $257 million the year before, it said.
 
Hata ikitokea hiyo Tanzania ina export nini under AGOA ? negligible
 
Mitumba itakufa kifo cha asili viwanda vya nguo vitakapoongezeka na kuzalisha nguo mpya kwa bei rahisi wanayoweza kumudu watu wenye kipato cha chini. Kuzuia mitumba toka nje ni wazo tamu masikioni lakini halina manufaa sana kwa watu wa kipato cha chini.
 
Serikali itafakari kabla haijapiga marufuku kwani hii sekta ya kuuza mitumba imeajiri watanzania wengi sana
 
hiyo biashara inatukata sana. yaani jumla tunawauzia bidhaa za 43m na wao wanatuuzia bidhaa za 281m!!!. unaweza kuta sehemu kubwa ya hiyo 281m ndiyo hiyo mitumba.
 
Recycling bin, or agent Wa magonjwa ya ngozi. What's the point, tusiimarishe viwanda vyetu. Tungekuwa tunapendana tungeunda kiwanda joint kiwe hata Rwanda, Ug na tz tukaprovide raw material.
 
Mitumba itakufa kifo cha asili viwanda vya nguo vitakapoongezeka na kuzalisha nguo mpya kwa bei rahisi wanayoweza kumudu watu wenye kipato cha chini. Kuzuia mitumba toka nje ni wazo tamu masikioni lakini halina manufaa sana kwa watu wa kipato cha chini.
Shati jipya shilingi 22'000/= tutaweza?
 
Waache upuuzi, kwahiyo sisi ndio recycle bin yao?? Pumbafu kweli hawa
 
Serikali itafakari kabla haijapiga marufuku kwani hii sekta ya kuuza mitumba imeajiri watanzania wengi sana
Vile vile na sisi tufikirie nguo zetu tutaziuza wapi tukiendekeza mitumba, cha muhimu ni serikali kuweka mipango sahihi ya kuzifanya nguo zipatikane kirahisi kwa kuwa na uzalishaji wa kutosha
 
Recycling bin, or agent Wa magonjwa ya ngozi. What's the point, tusiimarishe viwanda vyetu. Tungekuwa tunapendana tungeunda kiwanda joint kiwe hata Rwanda, Ug na tz tukaprovide raw material.
Acha uongo, watu tumevaa mitumba enzi na enzi wewe hujazaliwa na hatujapata ugonjwa wowote wa ngozi, (Dermatitis).

Leo ndio tuje tuupate uzeeni, acha kabisa uongo wewe kijana. Kushindwa kwetu kutengeneza nguo nzuri na kwa bei nafuu ndiko kumefanya mitumba itawale ktk soko la nguo.

Na hata kama ikipigwa marufuku haitasaidia chochote kwani zitaingizwa kimagendo kutoka nchi za jirani ambazo bado watakuwa wanaziruhusu, itakuwa tu kama ile miaka ya sabini na themanini.

Hii nchi bado kabisa haina technology na expertise ya kutengeneza nguo za maana.
 
Back
Top Bottom