Rwanda: Mwakilishi wa chama cha upinzani hajulikani alipo tokea Julai 15, 2019

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Eugène Ndereyimana (wa kwanza), mwakilishi wa chama cha upinzani mashariki mwa #Rwanda hajulikani alipo kwa siku 30 sasa, tangu alipotoweka Julai 15, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano.

Mke wake, Joselyne Mwiseneza amesema hajui kama mumewe yu hai au amefariki, na kwamba watoto wamebaki na huzuni kila siku wakiuliza baba alipo.

Katika hali ya kushtua, kiongozi mwingine aliyekuwa akishika nafasi hiyo hiyo alitoweka mwaka 2016, na baadae mwili wake ulipatikana.

Katika habari nyingine, mwandishi wa habari wa TV1 Rwanda, Constantin Tuyishimire hajulikani alipo kwa siku 29 sasa, tangu alipotoweka Julai 16.

Idara ya Uchunguzi Rwanda (RIB) imedai mwandishi huyo huenda amekimbilia Uganda kutokana na kuwa na madeni mengi.

Awali mwandishi mwingine aliyetoweka 2016 na kurejea 2017 alisema alikuwa nje ya nchi.
FB_IMG_1565924199339.jpg
 
Duniani ukijua kuwa maendeleo unajitafutia mwenyewe ambapo hata Malaika ashuke leo hii aiongoze nchi ila bado hawezi kukuletea pesa nyumbani kwako hutateseka kamwe zaidi ya raha tu.
 
inawezekana ni kwa sababu ujinga wako ni wa kiwango cha juu kiasi kwamba hata haujui nini kinaendelea na kinaathali zipi kwenye maisha yako na kizazi chako.
ni kama vile ukinywa dawa za kutuliza maumivu, sio kwamba tatizo lililopelekea maumivu linapona, bali mfumo wako wa fahamu unapumbazwa kiasi cha kushindwa kutambua kuwa kuna maumivu.
kwa maana hiyo ujinga wako umekuwa kama dawa yako ya kutuliza maumivu, alafu unajisifu "nimeponaaaa"!
 
the tail wagging the dog

mkia unamwongoza mbwa

alisema Ronald Reagan siku Tanzania ilipoongoza UN kuiingiza China uanachama kinyume na matakwa ya mataifa makubwa kama US

nilidhani mzee ana pride sana na hapendi kupangiwa mambo, lakini kitendo cha kumfuatisha yule fidodido anavyo run ka nchi kadogo kuliko Lindi namshanga simmalizi
 
Hio siku Reagani alisema pia “To see those, those monkeys from those African countries—damn them, they’re still uncomfortable wearing shoes!”
 
Eugène Ndereyimana (wa kwanza), mwakilishi wa chama cha upinzani mashariki mwa #Rwanda hajulikani alipo kwa siku 30 sasa, tangu alipotoweka Julai 15, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano.

Mke wake, Joselyne Mwiseneza amesema hajui kama mumewe yu hai au amefariki, na kwamba watoto wamebaki na huzuni kila siku wakiuliza baba alipo.

Katika hali ya kushtua, kiongozi mwingine aliyekuwa akishika nafasi hiyo hiyo alitoweka mwaka 2016, na baadae mwili wake ulipatikana.

Katika habari nyingine, mwandishi wa habari wa TV1 Rwanda, Constantin Tuyishimire hajulikani alipo kwa siku 29 sasa, tangu alipotoweka Julai 16.

Idara ya Uchunguzi Rwanda (RIB) imedai mwandishi huyo huenda amekimbilia Uganda kutokana na kuwa na madeni mengi.

Awali mwandishi mwingine aliyetoweka 2016 na kurejea 2017 alisema alikuwa nje ya nchi.View attachment 1182528
Hawa jamaa eti huenda alikimbilia Uganda kutokana na madeni mengi
 
‘... Tunataka Rais kama Kagame 2015, kuepuka hili ombwe la Uongozi la Kikwete...’- Wanaharakati huru wa maendeleo 2005-2015

Mabeberu hawakohoi kwa Kagame kwa kuwa ni Kibaraka wao lakin ingekuwa Bongo ungesikia na Press release za Balozi za Kibeberu
 
inawezekana ni kwa sababu ujinga wako ni wa kiwango cha juu kiasi kwamba hata haujui nini kinaendelea na kinaathali zipi kwenye maisha yako na kizazi chako.
ni kama vile ukinywa dawa za kutuliza maumivu, sio kwamba tatizo lililopelekea maumivu linapona, bali mfumo wako wa fahamu unapumbazwa kiasi cha kushindwa kutambua kuwa kuna maumivu.
kwa maana hiyo ujinga wako umekuwa kama dawa yako ya kutuliza maumivu, alafu unajisifu "nimeponaaaa"!
Sawa Msemaji wangu Mkuu, nikuongeze sh ngapi mwezi huu katika mshahara wako wa kunisemea hadi afya yangu?
 
‘... Tunataka Rais kama Kagame 2015, kuepuka hili ombwe la Uongozi la Kikwete...’- Wanaharakati huru wa maendeleo 2005-2015

Mabeberu hawakohoi kwa Kagame kwa kuwa ni Kibaraka wao lakin ingekuwa Bongo ungesikia na Press release za Balozi za Kibeberu
Bongo hayajazoeleka haya ya watu kupotea ndio maana mabeberu wanapiga kelele.

Rwanda watu washauwawa karibu mil. 1 ndani ya miezi 3 so akipotea mtu mmoja mmoja mabeberu yanajifanya kama hayaoni wala kushtuka yanaishia kutafuta majike yaliyoko kwny heat yaanze kuyapanda.
 
kama we Mtanzania wa kweli Ungeongelea Tundulisu,Kabendera,Sanane and so on!.
acha upuuzi! !
 
Eugène Ndereyimana (wa kwanza), mwakilishi wa chama cha upinzani mashariki mwa #Rwanda hajulikani alipo kwa siku 30 sasa, tangu alipotoweka Julai 15, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano.

Mke wake, Joselyne Mwiseneza amesema hajui kama mumewe yu hai au amefariki, na kwamba watoto wamebaki na huzuni kila siku wakiuliza baba alipo.

Katika hali ya kushtua, kiongozi mwingine aliyekuwa akishika nafasi hiyo hiyo alitoweka mwaka 2016, na baadae mwili wake ulipatikana.

Katika habari nyingine, mwandishi wa habari wa TV1 Rwanda, Constantin Tuyishimire hajulikani alipo kwa siku 29 sasa, tangu alipotoweka Julai 16.

Idara ya Uchunguzi Rwanda (RIB) imedai mwandishi huyo huenda amekimbilia Uganda kutokana na kuwa na madeni mengi.

Awali mwandishi mwingine aliyetoweka 2016 na kurejea 2017 alisema alikuwa nje ya nchi.View attachment 1182528
Sasa sisi tukusaidie nini?
 
Back
Top Bottom