Rwanda, mazingira ya kazi mazuri, mshahara mzuri na.........? Karibuni wana JF!

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Hellow JF members!!, Nimepata Kibarua Rwanda, kwakweli ninafurahia kusoma kwangu na ninawashukuru wazazi wangu kwa kunihimiza kusoma na kwa kunifacillitate!!. Ninafanya kazi ktk mazingira mazuri, ninathaminiwa utu na utaalamu wangu, mshahara wangu ni mzuri sana mara tatu ya mshahara wanaolipwa watu wenye taaluma kama yangu hapa TZ. Na zaidi, mhh!! yale mambo yetu yale!! Yani kuna viburudisho bomba mbaya!! watoto wazuri hakuna mfano!!. Any way la msingi, karibuni tufanye kazi!!
 
Natamani ningekuwa wewe nikafaidi yale mambo yetu yale! Naipenda sana Rwanda.
 
Hellow JF members!!, Nimepata Kibarua Rwanda, kwakweli ninafurahia kusoma kwangu na ninawashukuru wazazi wangu kwa kunihimiza kusoma na kwa kunifacillitate!!. Ninafanya kazi ktk mazingira mazuri, ninathaminiwa utu na utaalamu wangu, mshahara wangu ni mzuri sana mara tatu ya mshahara wanaolipwa watu wenye taaluma kama yangu hapa TZ. Na zaidi, mhh!! yale mambo yetu yale!! Yani kuna viburudisho bomba mbaya!! watoto wazuri hakuna mfano!!. Any way la msingi, karibuni tufanye kazi!!

ni pm au weka email yako nikutafute
 
Mshukuru Mungu kwanza na kwa yote..

Hizo red ukichanganya then ukawa na mis ya upako wa Mungu. Ngoma inaweza kukutembelea. play fair and responsibly.
 
tujuze bas mkuu ulisomea fani gan?ili watz walio na fani kama yako waangalie hiyo opportunity!kila la heri mkuu.
 
Warwanda nao wanakimbilia Beligique.Sielewi unaposema mambo safi
 
email yako tupe basi tukutumie CV utusaidie wadanganyika watu tuna master bado tunasota
 
Vipi kuhusu milupo? Nasikia videmu vya Rwanda ni so conceited? Tena huwa hawataki wanaume wengine zaidi ya wanyarwanda, lina ukweli hilo?
 
Biashara gani husninyo tena

ile ile ya mambo yetu lasvegas ,sinza kwa remmy africa sana utaiweza??
mkuu waeleze watu bana unapiga kazi gani watu wasije kula boda wakakuta wanarukishwa ukuta utuuzima huu wajuze bana
 
Vipi kuhusu milupo? Nasikia videmu vya Rwanda ni so conceited? Tena huwa hawataki wanaume wengine zaidi ya wanyarwanda, lina ukweli hilo?

Ulivyokasifia kadem kako kwenye thread ya birthday halafu leo unaulizia milupo!? Au umeshaachika!?
 
Vipi kuhusu milupo? Nasikia videmu vya Rwanda ni so conceited? Tena huwa hawataki wanaume wengine zaidi ya wanyarwanda, lina ukweli hilo?

wanataka Chabala aka Katerero na wanaamini kuwa wanaume wa kinyarwanda pekee ndio wanaojua mchezo huo...
 
Back
Top Bottom