mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Kwa nilivyosoma jana ile ilikua ni 'an incident' kulikua hakuna vita/kuviziana.
Kwa nilivyosoma jana ile ilikua ni 'an incident' kulikua hakuna vita/kuviziana.
Unaua ajira ya mnyarwanda ili uajiri roboti la mzunguInteresting..
Sisi bado tunahangaika na bei ya sukari
Wana assemble, kazi yao ni kufunga mabati na milango na nati, hamna cha ajabu hapo, mbona watu mtaani wanatengeneza gari mwanzo mwisho.Kumbe we boya kabisa! Hujui kitu.
Wanatumia drone kutangaza COVID-19,Kweki mnyalu ni mnyalu tu.Rwanda ROBOTI Zitasaidia kufanya kazi za kuhudumia wagonjwa wa Covid19 zikisaidiana na wauguzi na madaktari
Rwanda imesema kuwa tayari inatumia roboti katika kuzuwia maambukizi ya virusi vya corona kwenye vituo vya ugonjwa huo. Hatuahii inakuja baada ya taifa hilo kulegeza masharti ya sheria ya kutotoka nyumbani. Zitasaidiakufanya kazi za kuhudumia wagonjwa wa Covid19 zikisaidiana na wauguzi na madaktari'', alisema Waziri wa Afya Dkt Daniel Ngamije.
'' Roboti inaweza kuchukua sampuli za mgonjwa katika badala ya muuguzi. Kuna kazi nyingi ambazo roboti zinaweza kufanya kuhudumia wagonjwa wa covid19, si kwamba wauguzi ama madaktari wameshindwa la hasha, ni kama kuwasaidia kupumua na pengine kuwapa nafasi kufanya mambo mengine ya kuwahudumia wagonjwa ipasavyo'' , anasema Dkt. Ngamije.
Roboti hizo mbazo zimepewa majina ya Kinyarwanda zinatarajiwa kusaidia katika huduma zinazotolewa na madaktari kwa wagonjwa na hivyo kupunguza hatari za usambazaji wa virusi baina ya wagonjwa wa Covid-19 na wahudumu wa afya, alisema Waziri wa afya awali katika mahojiano na Radio Rwanda.
Pamoja na kuwapelekea dawa wagonjwa, roboti pia zitatumika kupima viwango vya joto vya wagonjwa, katika maeneo mengine ya umma kama vile vituo vya mabasi pamoja na kwenye milango ya kuingia katika maduka ya jumla ya bidhaa alisema.
Tangu ulipotokea mlipuko wa COVID-19, Rwanda imekua ikitumia mfumo wa ndege ndogo zisio na rubani (drones) kuwasiliana na umma katika kuupa uelewa juu ya ugonjwa huo hatari.
Tanzania ndio ina stahili pongezi, Magu kwa kutofanya lockdown mwanzoni nchi nyingi ulaya zilikurupuka ila sasa hivi wanatuiga.Rwanda wanastahili pongezi
Ngoja uzike mzazi au ndugu ndio tutaongea lugha mojaTanzania ndio ina stahili pongezi, Magu kwa kutofanya lockdown mwanzoni nchi nyingi ulaya zilikurupuka ila sasa hivi wanatuiga.
Tanzania tunastahili pongezi.
Aibu sanaInteresting..
Sisi bado tunahangaika na bei ya sukari
Kwa maana hio unaahauri lockdown au sio?Ngoja uzike mzazi au ndugu ndio tutaongea lugha moja
Usiwe unakurupuka chooni na kuja kuongea usioyajua.Rwanda na majigambo, wazee wa kujigamba East Africa wakati uwezo ni 0.
Mpaka sasa Tanzania kutokana na maamuzi raisi magu aliyofanya ndio hata ma raisi wa ulaya wanabadili na kuelekea uelekeo ule ule wa Tz.Hii imenifanya nimheshimu huyu mzee kwa kweli.Sijaona East Africa, wengine bogus tu
.
Rwanda hamjafikia huo uwezo wa kutumia robots kupunguza maambukizi.
USA wana robots zinatengenezwa NASA na zinatumwa mpaka sayarini lakini Corona inawapiga 3 - 0.
Robots hazitosaidia chochote,bora hata sisi tuna Fanya research ya tiba asili.
Rwanda kuna assembly industry hakuna manufacturing industry ya automotivesUsiwe unakurupuka chooni na kuja kuongea usioyajua.