Rwanda: Kikundi kipya cha waasi chaweka wazi nia yake ya kupindua Serikali ya Paul Kagame

Mkuu labda nikuulize kagame kawafunga wapinzani wangapi jela?

Hao wapinzani hawana wafuasi ? Nafikir mizani ikiwa sawa walau kuna tulia sasa yule dada aligombea uraisi kagame na genge lake wakamjumuisha ktk genge la wakwepa kodi kishafilisiwa unafikir watu watamfurahia? Lazima makundi ya waasi yatazaliwa tu
ndo upuuzi wa kagame, ila aking'oka huyu Tz itatulia
 
CIA wakikutumia mwisho wanakuchoka wana kutema....kagame kwisha habari yake niswala la muda tu...
Anastasio Somoza García
upload_2018-7-18_3-37-36.jpeg

Franklin D. Roosevelt (FDR) supposedly remarked in 1939 that "Somoza may be a son of a bitch, but he's our son of a bitch.

Fulgencio Batista y Zaldívar
260px-Fulgencio_Batista.jpg


Manuel Antonio Noriega Moreno

170530Noriega.jpg

Augusto Pinochet

Nicolae Ceaușescu

Mobutu Sese Seko


 

Attachments

  • upload_2018-7-18_3-40-19.jpeg
    upload_2018-7-18_3-40-19.jpeg
    8.9 KB · Views: 67
Kimenuka ili kushinda huu mchezo lazima kuwe na propaganda na fitina
 
Regime change haina cha tofauti kwenye hili bara letu na hasa hao jamaa wanataka kutumia mabavu ya mtutu ni wanataka kutusababishia maafa kwa weusi wenzetu. Wataishi maisha magumu ya misukosuko bila sababu ya msingi, ni bora watazamie njia ya kujikwamua kimaisha sababu waasi wengi wanaumizwa na njaa na umasikini tu ndio wanapata hata ashki ya kushika silaha. Mtu mwenye pesa zake hawezi kuwaza upuuzi wa kuingia mapambano ya vita na mtawala. Na Dunia imebadilika, hapo kuna nchi ipo nyuma yao maana ni suala gumu na next to impossible kuweza kushika silaha dhidi ya mtawala wa dunia ya leo bila support na mkono wa mataifa ama taifa fulani.
 
Kagame came as a hero he will leave as a devil .viongozi wa Africa wanasahau sana nyakati zinapowatupa mikono
Alimpindua dictator ili yeye awe dictator


Africa. We have a long way to go!

This doesn't look too good. Unless otherwise, there's dark clouds on the horizon.
Hopefully the International Community won't look away the way they did last time, and came to realize a huge mess after it was already too late.
 
Back
Top Bottom