Rwanda, Kenya, Uganda, DR Congo na jirani wengine waanza kupokea chanjo ya COVID 19. Burundi na Tanzania - NO DATA YET

Kijana wewe ni mpuuzi sana! Leo hii unamkejeli Mungu kisa chanjo za hao wanadamu ambao wameumbwa na Mungu mwenywe.

Ila nyinyi siasa zitawapekeka pabaya, kipindi kile napo hivyo hivyo ooh sijui Mungu ana kazi nyingi za kufanya lakini Mungu huyu huyu aliendelea kuwa nasi!

Chunga sana kauli zako kwa Muumba wako!!
Bro mungu ndio katupa akili yakufikiri namna yakukabiliana na matatzo tuliyonayo sasa huwez kukaa tuu na kusema unamtegemea mungu unakufuru
 
Acha undezi wewe.
Wewe una mawazo mafupi sana ya kiroho na kimwili.
Nyinyi ndio mtakaoangamizwa kwa kukosa maarifa.

Yaani dunia nzima(Tanzania ikiwemo) inapigwa na Corona, watu wa Mungu (wanasayansi)kwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mungu wanaumiza kichwa kupata chanjo, halafu wewe na akili zako fupi fupi unapiga domo kusema hutaki chanjo, sijui Corona imeletwa kutoka kuzimu nk.

Hivi wale mapadri, wachungaji na maaskofu, akiwemo mama Getrude Lwekatare, Mchungaji Miti Mingi nk. ambao Corona imewalaza kaburini wao walikuwa wapagani, hawamuamini Yesu au walikuwa wanamtumikia shetani?!

Yaani mtu na akili zako timamu unakataa kitu cha kisayansi (chanjo) na kwenda kushabikia vitu vya kiuwendazimu vya kuokoteza mizizi, sijui nyungu, sijui kula ovyo ovyo pilipili nk.
Hao waliopata chanjo na kufuata protocols hakuna vifooo
 
Hujakatazwa kwenda kuchanjwa ukiona inafaa ni kwa faida yako chanjo hatulazimishani
 
Acha undezi wewe.
Wewe una mawazo mafupi sana ya kiroho na kimwili.
Nyinyi ndio mtakaoangamizwa kwa kukosa maarifa.

Yaani dunia nzima(Tanzania ikiwemo) inapigwa na Corona, watu wa Mungu (wanasayansi)kwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mungu wanaumiza kichwa kupata chanjo, halafu wewe na akili zako fupi fupi unapiga domo kusema hutaki chanjo, sijui Corona imeletwa kutoka kuzimu nk.

Hivi wale mapadri, wachungaji na maaskofu, akiwemo mama Getrude Lwekatare, Mchungaji Miti Mingi nk. ambao Corona imewalaza kaburini wao walikuwa wapagani, hawamuamini Yesu au walikuwa wanamtumikia shetani?!

Yaani mtu na akili zako timamu unakataa kitu cha kisayansi (chanjo) na kwenda kushabikia vitu vya kiuwendazimu vya kuokoteza mizizi, sijui nyungu, sijui kula ovyo ovyo pilipili nk.
Na kule US corona iliondoka na Askofu maarufu wa kilokole aliyewahamasisha waumini kutojikinga kwa namna yoyote eti waendelee tu kuomba.

Ujinga siyo sehemu ya utakatifu. Mungu wetu anajivunia watu werevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha undezi wewe.
Wewe una mawazo mafupi sana ya kiroho na kimwili.
Nyinyi ndio mtakaoangamizwa kwa kukosa maarifa.

Yaani dunia nzima(Tanzania ikiwemo) inapigwa na Corona, watu wa Mungu (wanasayansi)kwa kutumia akili na maarifa waliyopewa na Mungu wanaumiza kichwa kupata chanjo, halafu wewe na akili zako fupi fupi unapiga domo kusema hutaki chanjo, sijui Corona imeletwa kutoka kuzimu nk.

Hivi wale mapadri, wachungaji na maaskofu, akiwemo mama Getrude Lwekatare, Mchungaji Miti Mingi nk. ambao Corona imewalaza kaburini wao walikuwa wapagani, hawamuamini Yesu au walikuwa wanamtumikia shetani?!

Yaani mtu na akili zako timamu unakataa kitu cha kisayansi (chanjo) na kwenda kushabikia vitu vya kiuwendazimu vya kuokoteza mizizi, sijui nyungu, sijui kula ovyo ovyo pilipili nk.
Yaani hii Tanzania nashindwa kuielewa, wanaleta siasa kwenye sayansi. Wanashabikia vitu ambavyo havina ushahidi wa kisayansi, ,endeleeni kujifukizia
 
Kuhusu chanjo ya COVID19 bado kuna mengi sana tusiyoyajua. Lets see how it pans out..
 
Back
Top Bottom