Kama ilivyo nchi za Afrika Mashariki: Kenya Uganda na Tanzania Zina fanana katika mitazamo ya kisiasa, kiuchumi hivyo Rwanda ambayo pia ipo kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki inapaswa ifuate nyayo.
Lugha ya kiswahili ni nyezo muhimu sana ya kuiweka Rwanda karibu na nchi zingine haswa Tanzania.
Rwanda isijitenge yenyewe lazima ikubali kuchangamana na nchi wanachama ndipo itakuwa na nguvu zaidi na usalama. Bila kusahau matumizi ya lugha ya kiswahili ni nyezo kuu ya kujenga mambo hayo.
Pongezi kwa Marais wote kwa kuimarisha mahusiano na ushirikiano wa kiuchumi baina ya Nchi zetu.