Rwanda Extends a Helping Hand to Haiti After Devastating Earthquake

Ipi hali yake ni Nzuri? Hivi usd 100,000 ni shilingi ngapi za madafu jamani zinazidi gharama ya Nyumba ya Ndulu?


Nyumba ya Ndullu ni 1,000,000 USD; Michango ya nchi nyingine Haiti ni Rwanda: 100,000 USD; Namibia 1,000,000 USD; DRC: 2,500,000 USD; USA: 100,000,000 USD. Hapo ndipo utaona jinsi gani nyumba ya Ndullu ni gharama au wizi wa mchana kwa watanzania.
 
..hiyo USD 100,000 ni hela ndogo sana kwa Tanzania.

..mmeshasahau kwamba serikali ya Tanzania imeamua kutumia Tsh 7 billion kwa ajili ya kampeni za kuvutia washiriki wa kombe la dunia kuweka kambi nchini kwetu?

..mbona kina Chenge,Mkono,..wamechangishana pesa nyingi zaidi ya hizo kusaidia kampeni za CCM Bariadi?

..kwanini Rwanda wamechuna kutusaidia wa-Tanzania, ambao tumekuwa tukiwahifadhi[wanyarwanda] kila wanapopata matatizo, na badala yake wanakwenda kuchangia Haiti?
 
..hiyo USD 100,000 ni hela ndogo sana kwa Tanzania.

..mmeshasahau kwamba serikali ya Tanzania imeamua kutumia Tsh 7 billion kwa ajili ya kampeni za kuvutia washiriki wa kombe la dunia kuweka kambi nchini kwetu?

..mbona kina Chenge,Mkono,..wamechangishana pesa nyingi zaidi ya hizo kusaidia kampeni za CCM Bariadi?

..kwanini Rwanda wamechuna kutusaidia wa-Tanzania, ambao tumekuwa tukiwahifadhi[wanyarwanda] kila wanapopata matatizo, na badala yake wanakwenda kuchangia Haiti?


Here is JokaKuu!

I reserve my comments my man!
 
Nakataa, nakataa, nakataa. Rwanda hawajatupita. Unless mfafanue "wametupita" kivipi na kwenye nini lakini kama kimaendeleo....hell no. Rwanda ni nchi ya dunia ya tatu kama zilivyo karibu nchi zote za kusini mwa sahara.

Hivi mnadhani serikali ya Tanzania haina dola laki moja? I'm sure we can match if we want to. Na kutoa msaada wa dola laki moja Haiti si swala la kutupita kimaendeleo. Ni swala la ubinadamu tu.

Bado nakataa. Si Rwanda, si Kenya, si Burundi....wote tuko dunia ya tatu.

Omega,
Tunachoongelea hapa ni kuwa Rwanda wametushinda kwa kuwa na serikali yenye mwelekeo, uona mbali na utendaji wao.

Sisi raisi wetu JK na serikali yake ni ya kienyeji-enyeji tu. Hata nchi haieleweki inakoelekea.
 
Masanja,

..kilichokosekana Tanzania ni NIA siyo uwezo wa kutoa hizo USD 100,000 kwa ajili ya Haiti.

..pia nimeuliza kwanini Rwanda wametuchunia wakati sisi huwasaidia wanapopatwa na majanga?

NB:

..inawezekana Rwanda wamechuna kwasababu sisi wenyewe wa-Tanzania, au Raisi na serikali yake, tuna-act as if every thing is "dandy and rosy" in Kilosa and Kilombero.
 
..inawezekana Rwanda wamechuna kwasababu sisi wenyewe wa-Tanzania, au Raisi na serikali yake, tuna-act as if every thing is "dandy and rosy" in Kilosa and Kilombero.

Makes one wonder whether what we have deserves to be called a government worthy the name - do we really know whether we are "coming or going" ? We probably wouldn't know what to do with "msaada" if somebody offered it and most likely at the end of the day it would all end up in some fisadi's pocket. Serious governments like the one run by Kagame know better and they would definitely think twice before contributing anything to the coffers of this bottomless pit patrolled by a hungry bunch of hyenas - CCM.
 
Nilisoma thread moja ikishauri kuwa Tanzania ipeleke msaada huko haiti. sina uhakika ilikuwa thread gani lakini mwanidhsi alikuwa na point nzuri sana. tusijijenge kuwa sisi ni wa kuomba misaada tu bila kutoa misaada kwa wengine hasa ile iliyo chini ya uwezo wetu. hatushindwi kupeleka msaada wa polisi, askari wa majanga kama vile zima moto, waganga, na manesi huko Haiti, kinachotakiwa ni uongozi tu.nawapongeza sana Rwanda kwa kuonyesha uongozi kwa vile sehemu zote za Afrika zimelala
 
Omega,
Tunachoongelea hapa ni kuwa Rwanda wametushinda kwa kuwa na serikali yenye mwelekeo, uona mbali na utendaji wao.

Sisi raisi wetu JK na serikali yake ni ya kienyeji-enyeji tu. Hata nchi haieleweki inakoelekea.

Oh okay. Ila kusema Rwanda wako mbali sana kuzidi sisi ni stretch.
 
this is one of those times that you inspire 'hope' ... kesho kuna mtu ataambuka MA!

HIvi hawa Wanyarwanda wanafikiri wao ni kina nani hadi watoe msaada wakati taifa kubwa kama TZ halina uwezo wa kutoa msaada?
Mwanakijiji, Serikali yetu imezoea kuomba na kupewa sio kutoa. Kama kutoa msaada kwa walipa kodi wake inakuwa jambo zito ndio itakuwa Haiti au kwingineko?
 
unajua inawezekana wanapokaa chini na kujadiliana na mtu anatoa wazo "mheshimiwa kwanini tusitoe msaada wa angalau dola laki tano kwa Haiti" unajua atajibiwa nini na wapambe?
 
unajua inawezekana wanapokaa chini na kujadiliana na mtu anatoa wazo "mheshimiwa kwanini tusitoe msaada wa angalau dola laki tano kwa Haiti" unajua atajibiwa nini na wapambe?
".....................Wafadhili wataona tunazo hivyo tukiwaomba hawatatupa tena, achana nao bosi"
 
Sisi wa Bongo tunasubiri tuchangiwe, maana tumepigwa na mafuriko Mji kasoro bahari.
 
Liberia: Country Provides U.S.$50,000 Aid to Haiti Quake Victims

18 January 2010

The Liberian Government has announced a contribution of US$50, 000 to the Government and people of Haiti, in the wake of the devastating earthquake that struck the country on January 12, leaving thousands of people dead and displaced.
The Liberian Government announced the donation January 15 at its first cabinet meeting for 2010.
President Ellen Johnson Sirleaf called on all religious institutions in the country to remember in their prayers victims of the earthquake in Haiti and dedicate their services to the country's recovery.
A moment of silence was observed by the President and her cabinet in memory of those who lost their lives in the disaster, an Executive Mansion release issued over the weekend said.
The Cabinet is also launching an appeal to all those residing in Liberia, including business entities, and private institutions, to contribute to the relief effort in Haiti through a special fund that will be opened at a local bank.
Proceeds from the contribution will be transmitted to the people of Haiti through the Clinton Foundation. President Clinton, who serves as the United Nations Special Envoy for Haiti, is also spearheading efforts to provide immediate relief and long-term support to earthquake survivors.
"The Government and people of Liberia express condolences to the Government and people of Haiti for this tragedy and to the United Nations Stabilization Mission in Haiti (MINUSTAH) for their loss," the release noted.


My Take:



Liberia - counted!
 
The government of Botswana will donate an amount of P1 million to the government of the Republic of Haiti as aid to the humanitarian crisis caused by the recent devastating earthquake in that country, which claimed thousands of lives and caused massive infrastructural damage, almost leveling the Haitian capital city, Port-au-Prince.
This donation is a token of the friendship, goodwill and solidarity that exists between the government and people of Botswana and the government and people of Haiti. Botswana believes that it is imperative that we, as developing countries, show solidarity and join forces with each other, not only for the common defence of our national interests, but also in supporting our sister countries in times like these.
The government of Botswana wishes to reiterate the message by the United Nations Secretary General, Ban Kin-Moon, calling upon the international community to come to the rescue and assist the government and people of the Republic of Haiti in any way possible as they face the challenges of rescue, recovery and reconstruction in the months ahead.


Botswana - counted!
 
Mwanakijiji easy my friend. Be patient....and maybe they will give some type of aid. Has Kenya provided any aid? Uganda? Zambia? Malawi?
 
Kwa nnavyomjua jK alivyo mpenda sifa, very likely yeye na serikali yake wanapenda sana kutoa msaada Haiti lakini they are just counting on reactions thereafter hasa ukizingatia recent conlicting priorities kuhusu nyumba ya gavana,mafuriko Kilosa na kwingineko and the coming uchaguzi!!!!!!!
 
Mzee Mwanakijiji

Tuwaachie nchi nyingine nao watoe michango hususan nchi zilizo karibu na Haiti. Sisi tumepata mafuriko ni nchi chache sana wametusaidia na sio ushindani, zaidi ya hapo kama mkikumbuka hata wakati sisi Tanzania tulipotoa misaada mingi ya wapigania uhuru kusini mwa Afrika tuliachwa solemba na mataifa mengi tu. Tuache hili lipite na wengine wasaidie. Bila kusahau Tanzania ni nchi pekee Afrika kama sikosei yenye idadi kubwa sana ya wakimbizi kutoka hata kwa hao Rwanda nk. Ni nchi chache sana ambazo wanawakimbizi kwa miaka kadhaa.

Vile vile nchi kama Rwanda kutoa misaada au Botswana ni wakati wao nao kuonekana katika ulimwengu pia nao wapo isitupe shida sana.

Kwa maoni yangu naona tusiwe counted kwa hili. Kama serikali ina uwezo wa hizo pesa wapeleke kwa waliopata mafuriko bado wana shida sawa na wale wa Haiti. Charity begins at Home Balozi wetu anayetuwakilisha Haiti awape rambi rambi kutoka kwa rais wa Tanzania na wananchi wake.
 
Askari wetu wangepelekwa huko Haiti kusaidia na kupata experience kidogo!


Kwa nini nashauri hivyo?

Kenya, Uganda na Tanzania zina "jeshi la ukombozi kwa ajili ya nature/human-caused" majanga! Iliundwa kwa misaada yaMKUBWA fulani...

Mazoezi yamefanywa huko Uganda na Kenya, mwisho ilikuwa hapo Monduli, mwaka jana.

Lakini Kenya ilipata ukame na njaa kasikazini; halafu ikakumbwa na mafuriko....

Sisi tumefunikwa na vifusi vya tope huko Upare ...kukafuatia mafuriko...hata reli ya kati kuzolewa.....Jeshi letu lilifika huko baada ya siku ngapi?

Ajabu, mji wa Goma ulipata "barabara mpya za lami ya volkeno" wakati Uganda na Rwanda zilikuwa nazo zinamaliza mazoezi hayo ya kijeshi nchini Uganda!

Na hata nchi za kusini mwa Afrika tulikuwa na mazoezi huko kwenye milima Zimbabwe, kabla ya mafuriko ya maji huko Msumbiji, kiasi cha mama mjamzito kujifungua amepanda mtini!

Majeshi yetu yalienda kweli kuokoa?

Lakini kama ofisi ya huyo MKUBWA ikipata janga, tutakimbia kuokoa!
 
Back
Top Bottom