Rwanda, DRC, na nchi za Afrika zilizotoa msaada Haiti, TZ no? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rwanda, DRC, na nchi za Afrika zilizotoa msaada Haiti, TZ no?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 19, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kigali (New Times) — Following the devastating earthquake which struck Haitian capital Port-au-Prince on Tuesday causing massive damage across the country, the Government of Rwanda has committed a donation of US$ 100,000 (Rwf 56m) to victims.


  The magnitude 7.0 earthquake reported to be the strongest to have struck the country in 200 years, killed over 50,000 people and while as many are still missing; the death toll is expected to rise.


  The International Red Cross estimates that three million people have been affected by the quake that caused major damage to Haitian landmarks such as the presidential palace, all hospitals and homes in the region
  Haiti is the poorest country in the Western Hemisphere ranked at 149th of 182 countries on the Human Development Index.


  The Food and Agriculture Organization (FAO) considers the country to be economically vulnerable and with little ability to cope with major disasters.
  Several countries have responded to the appeal for international aid to Haiti, and after South Africa, Rwanda is among the first few African countries to give aid to the country.


  My Take:
  Read the other thread! Wanaobarikiwa hubariki na vivyo hivyo wao hubarikiwa zaidi! Kanuni ya kutoa bado inafanya kazi...
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  So what are you trying to say? That we are too slow to act?
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  I wish we were slow.. manake tutafika huko.. I bet you kama ilichukua wiki tatu kwa Rais wa TZ kuliagiza JWTZ kusaidia wahanga wa Kilosa; sitoshangaa itachukua mwezi mzima kabla hawajaamua kusema lolote kuhusu Haiti. Did we even issue a statement of concern and offer some words of condolences?

  I know.. tulikuwa bado tunafikiria jinsi gani tungeweza kuwafunga Ivory Coast..
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Inawezekana walitoa tamko lakini labda mimi na wewe hatukulisikia (I'm just being positive here)...
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  this is one of those times that you inspire 'hope' ... kesho kuna mtu ataambuka MA!

  HIvi hawa Wanyarwanda wanafikiri wao ni kina nani hadi watoe msaada wakati taifa kubwa kama TZ halina uwezo wa kutoa msaada?
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji, i wonder where you are trying to get to. Why would you think that a country(government) which does not even want to help its own people would think of helping others, for what. prestige? brotherhood?

  Kuna mamia ya akina mama wanaojifungua kwenye hospitali ambazo ukiingia ndani ni sawa na dampo, kuna watoto wengi wanakufa kwa dawa inayonunuliwa kwa shilingi 5000, and this person who you think is too slow in helping Haiti does not even care. I wonder what will they be trying to achieve kwa kuona misery Haiti na kutoona misery Kilosa, au hospitali ya Mwananyama.

  Mwanakijiji ukija Dar jaribu kutembelea hospitali uone hali ilivyo, kabla ya kupigia debe msaada kwa Haiti. Rwanda is way ahead of us, we can not compare ourselves with them, japo wengine hawapendi kukubali ukweli huo.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  BOngolander kwani Marekani wanaosaidia huko Haiti wao wenyewe raia wake wote wanaishi kwenye neema? Matatizo siyo kisingizio cha kutosaidia.
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kuna tofauti Mwanakijiji. Kwanza kama kukiwa na tatizo US inasaidia raia wake, na kuna fairly good social welfare system ambayo inaweza kusaidia watu, Tanzania hali ni tofauti kabisa, serikali inahitajiwa zaidi kufanya mambo ya msingi, na hata haifanyi yale inayotakiwa kufanya, so why ikereketwe na ya haiti wakati ya hapa nyumbani inakaa kimya?
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Samahani wakuu, hivi Bongo tulikuwa na Embassy kule Haiti?
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .....Rwanda ipo juu, japokuwa ilikuwa kwenye misuko suko ya vita lakini Tanzania tumepitwa na Rwanda kwa kila kitu.
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  hapana hatuna ubalozi kule nadhani balozi wetu anayeshughulikia Caribbean anashughulikia na Haiti vile vile..
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hii si kweli. Rwanda hawajatupita. Wana nini sisi tusichonacho?
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ni balozi yupi anayeshughulika na Caribbean? Huyu wa DC?
   
 14. T

  Tom JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2010
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hatuna haja ya kushindana na Rwanda ktk kutoa misaada kwani hali ya kiuchumi na kisiasa ndani ya Rwanda si sawa na Tanzania.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nyie kaeni tu msije kusikia watu wanazamia kwenda Rwanda! shoot!
   
 16. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Akili za viongozi wetu zimelala. Lazima utambue kwamba kama tuna raisi ambaye anaenda kucheza muziki mlimani city wakati kuna maafa same na hajazungumzia chochote halafu akenda safari za nje baada ya kurudi akaenda same kusafisha jina kwa sababu walimsema usitarajie hata kama kutatokea maafa nchi jirani atajisumbua. We should understand that charity begins at home.

  Hivyo hatuna watawala ambao wako concern na maisha ya watu bali akili zao zimezama kuwaza ni namna gani tutabaki madarakani
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ila hadi leo sijaelewa ni kwanini aliamua kwenda Kenya wakati wanachinjana na kuwakutanisha Kibaki na Raila.. wakati Zanzibar yeye na Mkapa wote walishindwa na kuwaachia kina Makamba ambao walishindwa hadi Karume na Seif wakajiamulia wao wenyewe mambo yao. Hata JK hajui Seif na Karume wamekubaliana nini!!! true story.
   
 18. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Roho laumasikini na kuomba omba linatumaliz. Mungu atusaidie.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  100,000!USD

  Unafikiri tukiuza zile nyumba mbili za BoT tukatoa hela yote nusu kwa mafuriko nusu Haiti tunaweza kuwapiku hawa jamaa..?
   
 20. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Mzee,

  always my take is URAISI is an Institution,si Kikwete anaye panga ingawa anaweza KUPANGUA,ninachojaribu kusema WATENDAJI wabovu wamemzunguka (si haba na yeye kuonekana Mbovu).
  Nadhani umeliona MWANANCHI la leo!?
   
Loading...