Rwanda, Burundi, Zambia, Uganda, Kenya hawana mgao wa umeme, why Tanzania?

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Yaani inaboa sana jinsi Tanesco wanavyotunyanyasa wa-Tanzania na huu mgao wa umeme. Haiingii akilini hata kidogo kwamba majirani zetu wa Afrika Mashariki na Kusini wako ok kabisa, kwao mgao ni ishu ambayo wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari ikitusumbua sisi hapa kwetu. Je Tanesco na serikali ya ccm hawana cha kujifunza toka nchi za jirani?
 
Wajifunze nini na wao wanafanya kusudi? Huwezi ukawa unakula fedha za miradi halafu mgao usiwepo.. Kwa hivo huu mgao wetu ni politically engineered
 
Too bad,sometimes naona hata aibu kuitwa mtanzania na cha ajabu we tanzania are so calm and quiet about it,no turbulence at all,any way that is how we are,polite while the big belly guys triumph against us.
 
several reasons
  1. our presedent anawashauri wabaya, yeye hajui kinachoendelea. Tusimlaumu!
  2. matatizo yetu aliyaacha Baba wa Taifa, akaja Mwinyi, Mkapa wote wakayaacha na our presideee atayaacha!
  3. because our presideee is handsome!
 
Ni kutojua kipi kianze. Tumekua na VIpaumbele badala ya KIpaumbele. Tungechagua kimoja kinachoweza kuinua vingi.
 
Kenya upo kwa sasa kuanzia yaya center , ngong road mpaka kibera kote hakuna umeme kwa sasa toka asubuhi.

Hata jana ilikuwa hivyo
 
Back
Top Bottom