Rwanda: 65% ya Wanawake wanaona ni sawa kupigwa na Wanaume wao

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Waziri wa Jinsia, Jeannette Bayisenge amefichua kuwa vita dhidi ya ukatili wa kijinsia nchini humo ni kubwa

Amesema utafiti wa mwaka 2020 umeonesha asilimia hiyo imetokana na wanawake kuamini kuwa kuna uhalali wa wao kupigwa kutokana na sababu mbalimbali

Baadhi ya sababu hizo ni kama mwanamke hajapika vizuri, kama anabishana na mumewe, kusaliti uhusiano

================

Concern As 65% Of Women In Rwanda Say They Are Okay Being Beaten By Men

Rwanda's minister of Gender and Family Promotion, Jeannette Bayisenge, has revealed that the fight against gender-based violence in the country is far from being tamed.

While responding to questions about family conflicts and problems affecting society before parliament on Tuesday, Bayisenge attributed her sentiments to the Demographic and Health Survey of 2020 on women's and men’s attitudes toward wife-beating.

The survey shows 65 per cent of surveyed women said wife-beating was justified under certain circumstances. About 18% said a wife should be beaten when she has not cooked well and 31% of women said the wife can be beaten if she has an argument with her husband.

Meanwhile, 2% of surveyed men agreed a wife should be beaten when she has not cooked well while 6% said a wife should be beaten if she argues with her husband.

Another 61% of women said it was justifiable to beat a wife if she cheated on her husband while 36 per cent of men agreed.

The minister raised concerns that the rate is alarming and poses a clear indication the nation has a great deal of work to do to floor the numbers.

“You know how long we have been teaching about gender equality, this is where we are today,” Bayisenge said as quoted by The New Times.

“If we still have 65 per cent of women who said they can be beaten under the said circumstances; these women are the ones who have a bigger part in educating their children.”

She further added that the country needs to employ more strategies to overturn the appalling mindset of citizens.

“I want to show you that the battle we are fighting is not as easy as we might think. Mindset does not change overnight, which hinders our many strategies,” she said.

Source: Citizen digital
 
Mwanamke ni Kama mche/ mmea wa boga, inabidi linyooshwe, husipolinyoosha linapinda! Siye maneno yangu ni ya wazee wetu waliotukuza.
 
Tumewapata vzur..sasa tunahitaji hawa wa +225 watueleze ni wap tuwe tunapiga?kutuchagulia sehem ya kupiga itatupunguzia madhara makubwa yatakayo jitokeza
 
Habari wandugu..

Utafiti uliofanywa na mashirika yasiyo ya kiserikali Nchini Rwanda umebaini kwamba asilimia 65% ya Wanawake Wanaamini Ni Haki Kupigwa na Waume zao..

Ikumbukwe Utafiti Kama huu uliwahi fanywa na Twaweza hapa Tanzania na kuja na majibu yanayofanana..

Maswali ya kujiukiza,

1.Je shida Ni elimu duni miongoni mwa wanawake wa kiafrika au ?

2.Je hii Ni dhihirisho ya kushindwa kwa kkampeni za Women Empowerment?

3.Je Tukubaliane kwamba Tamaduni za Kiafrika zhaziwezi kubadikishwa na elimu na ustaarabu wa Kimagharibi?

Mwisho..Matokeo ya Utafiti wa Wanawake wa Rwanda yanaakisi halihalisi ya Bara la Africa.👇

Screenshot_20221118-132325.png
 
Back
Top Bottom