Rwakatare alazwa Bugando baada ya kuzidiwa Igunga

Fred Katulanda

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
374
509
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.
Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

Mungu amsaidie huyu kamanda apate nafuu mapema arudi kwenye majukumu yake. Ila mbona habari zinathibitishwa na Katibu wa CCM, CDM wako wapi?
 
Polezake ila CCM ndio wana-confirm ugonjwa wa member wa CDM? au sijaelewa Mpwa? uko inapokuja suala la ugonjwa siasa tunaweka kando, poleni sana
 
Katika ugonjwa hakuna siasa, Bw. Mushumbusi na Rwakatare wana ujamaa wa karibu na inapofikia mtu kulazwa hospitali ni jamaa zake wanaokuwa nae karibu.

Ugua pole mpiganaji Rwakatare!
 
Mbona hii post ipo kwenye habari mchanganyiko? Mimi naona hii ni ya kisiasa zaidi ingefaa iwe kwenye jukwaa la siasa. Naomba ipelekwe huko kama kuna uwezekano
 
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.
Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

Mpeni pole mpambanaji wetu Mungu ampe nafuu arudi tena ulingoni!!!!!!!!!!!!
 
Ugua pole

Laiti angejua umemtakia ugua pole na akaona sura yako, naamini leo angenyanyuka kitandani

avatar11226_3.gif
 
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.
Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

iweje taarifa itolewe na kada wa CCM?
 
Back
Top Bottom