Rwaitama:' Akiwa serious' kama kweli anataka maendeleo ya Taifa hili katiba mpya ni suluhisho'

MANILABHONA

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
434
500
Nimemsikliza Mstaafu Dr. Rwaitama, ki ukweli sikuwahi kumuelewa kwa miaka yote ambayo amekuwa akialikwa na kuongea kwenye televisheni na radio, jana kwa mara ya kwanza nimemuelewa alipokuwa akihojiwa EATV.

Kiukweli mheshimiwa amezungukwa na watu wanaokula kupitia uteuzi wake hivyo siku zote wanamsifia wakati mwingine hata katika kitu ambacho hakistahili sifa.

Hawa Dr.aliwaita wanafiki. na kweli hata mimi naafiki unafiki unaodhihiri miongoni mwa watendaji. Hebu angalia hotuba za kupokea ripoti ya Zungu na Biteko leo, walioongea badala ya kuongelea kwa kina yaliyokuwemo kwenye ripoti, robotatu ya muda wameongelea kumpa sifa raisi wakati anayoyafanya ni wajibu wake kuyafanya.

Inabidi mheshimiwa ajiongeze afuatilie utendaji wao sio ajae sifa tena sifa zenyewe nyingi za kinafiki. Namshauri aende kwa watu wa chini watu wa kawaida na asipende kusifiwa awe akiuliza zaidi ni wapi angefanya nini wananchi wangeona matokeo mazuri zaidi au maendeleo. akifanya hivyo atapata ukweli na sio unafiki
 
kidodosi

JF-Expert Member
May 1, 2013
2,048
2,000

DR RWAITAMA ni hazina ya Taifa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom