Ruzuku ya chama ndio inayomtia kiburi Mbowe na kumfanya awe na maamuzi ya ajabu

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
8,203
15,207
Wakuu hamjambo?

Leo katika shughuli zangu za hapa na pale nilikutana na wafuasi wa kiongozi mkuu sana wa CHADEMA ndugu F. Mbowe wakiwa na barua inayowataka kutojihusisha na uchaguzj wa serikali za mitaa,nilipo wauliza vipi mnaonaje maamuzi ya mwenyekiti wetu kuhusu kujitoa katika mpambano walisema hatuna namna Ila kiufupi jamaa hafai maana mara nyingi amekuwa na maamuzi ambayo yana matokeo hasi kwa chama.

Walienda mbali zaidi na kusema kuwa kinachompa kiburi yeye ni ruzuku hivyo kwa maamuzi ya kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa yeye hautamwathiri Bali wanaoathirika ni wanachama wa chini ambao kwa namna moja unyekiti wa mitaa,kitongoji au kijiji ni ajira kwao

Rai yangu kwa wafuasi wa CHADEMA ni kuwa wawe makini na mwenyekiti wao maana jahazi linaelekea kuzana kama vipi warudi nyumbani maana kumenoga.na dalili zilizopo sidhani kama mwaka kesho hiki chama kitakuwa na uwakili Bungeni .

Mwisho wa kuwasilisha
 
Aya kachukue buku saba yako ukanunue unga na matembere ili mkeo na watoto wasife njaa
 
Unafikiri Mbowe alilima miwa makes kuswaka ng’ombe! Mbowe design za Uhuru Kenyatta amezaliwa na “ a silver spoon “
 
Nawewe buku 7 ya Lumumba ndiyo inakupa jeuli ya bando na kuleta uzi hapa jukwani.
 
Back
Top Bottom