Ruzuku kwa Vyama zifutwe ili kubana Matumizi.

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Kama kila upande kuna "hewa" basi hata katika vyama vya siasa, kuna vyama hewa. Ili kuendana na falsafa ya kubana matumizi yasiyo na tija, ruzuku katika vyama zifutwe ili vyama hivyo vijifunze kujitegemea.
 
Ruzuku inaenda kuwa 'posho' za ukuta. Bila shaka Mwanasheria Mkuu aliangalie hili swala la ruzuku. Kama vipi vyama vinavyopata ruzuku viwe na proposed bajeti ijadiliwe kabla ya kupitishwa km inavyojadiliwa bajeti.
 
Only few parties may exist in Tanzania (CCM, CDM, CUF, NCCR, ACT) vinginevyo ni vizuri vijimerge ndani ya hivi ili kutengeneza strong opposition.
 
Ruzuku inaenda kuwa 'posho' za ukuta. Bila shaka Mwanasheria Mkuu aliangalie hili swala la ruzuku. Kama vipi vyama vinavyopata ruzuku viwe na proposed bajeti ijadiliwe kabla ya kupitishwa km inavyojadiliwa bajeti.
siku ruzuku ikifutwa next day nendeni mochwali mtaiona maiti ya CCM
 
isije ukawa umetumwa kutikisa njiti za kiberiti...

mzee wa kukurupuka akisoma post yako kesho utakuta katangaza "sijaribiwi, nafuta maposho ya vya siasa, nataka wafanye kazi"

wakati huo chama cha mang'ombe wanajua the way watakavyojichukulia hiyo cash.
 
ndo hivo asiyefanya kazi na asile.
 
Kama kila upande kuna "hewa" basi hata katika vyama vya siasa, kuna vyama hewa. Ili kuendana na falsafa ya kubana matumizi yasiyo na tija, ruzuku katika vyama zifutwe ili vyama hivyo vijifunze kujitegemea.
Wazo zuri lakini Wengi wataacha uongozi kwa baadhi ya vyama
 
Jambo lolote linahusu maslahi yao likiwemo hili la ruzuku, CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wao hawawezi kuliunga mkono.
 
Mbowe akisikia swala la ruzuku ni sawa na mtu kugusaECONOMIC NERVE YA MTU hapa lazima asisimke hatakama yuko usingizini
 
Binafsi naomba ziongezwe angalau hata washika ukuta wajenge hata kaofisi
1470597938928.jpg
 
Back
Top Bottom