Ruzuku kwa vyama vya siasa iondolewe Tanzania!

Pro-CDM-JF, mpaka wanatia huruma wanashindwa kujenga hoja wanataka kila mtu humu JF, hawe Estimable na CDM. Msiwe na upofu mnatakiwa muwe Breadth
hawana la kusema juu la hili, ndio sababu ya kurusha lugha ya kihuni. viongozi na wanachama wote akili moja, yakiwashinda basi lazima walete fujo.Sio makosa yao bali ni akili za vijiweni hizo.
 
Kama umeajiriwa, onyesha uzalendo unaoutaka kutoka kwa CDM kwa wewe kwanza kukataa mshaharg.
 
Pro-CDM-JF, mpaka wanatia huruma wanashindwa kujenga hoja wanataka kila mtu humu JF, hawe Estimable na CDM. Msiwe na upofu mnatakiwa muwe Breadth

Listen here young boy,
Chama ili kiwe Chama kinahitaji kuwezeshwa ili kijenge matawi ya kutosha katika mitaa yote ya wanachama
na hii kazi inafanywa na viongozi kuanzia Taifa hadi mitaa,kwa maana hiyo Chama chochote kipya hakina fedha
na wanachama wa kutosha kukiendesha, chama kujiendesha lazima kitegemee fedha toka serekalini na wala si kwa
wafanya Biashara madhara unayajua.kwa misingi hiyo ni wazi Ruzuku kwa vyama vya kisiasa ni muhimu sana
kwa kipindi hiki cha mageuzi ya kweli.

Maoni yangu,ningeshauri serekali iangalie vyama ambavyo vimekaa zaidi ya miaka 20 basi vifutiwe ruzuku viweze
kujiendesha venyewe kama CCM na si CHADEMA,TLP,NCCR-MAGEUZI,na CUF ambavyo vimeanza muda mfupi uliopita.
 
Hiki ni kipengele kinachodhuluma haki na uchumi wetu wa taifa letu!
Hili suala la ruzuku, mbona CDM kama wana dhamira ya dhati hawasemi bungeni kwamba ruzuku zitolewazo kwa vyama vya siasa ni unyonyaji mtupu kwani zinaishia kuliwa na vigogo wa vyama.
Kama wao ni wakweli, wajenge hoja ya kufutwa kwa ruzuku kwa vyama venye wabunge ili vyama vyote vya siasa vijiendeshe kwa michango ya wanachama wake sawa na ilivyojiendesha TANU enzi za kupigania uhuru.
Chadema hawana shughuli yoyote ya kisiasa ambayo wanaweza kujitambulisha nayo hadi wananchi wa nchi hii wakawatambua wao wanajitambulisha kama mabingwa wa ukosoaji na mashujaa wa kwenda kinyume na serikali, na wasiwasi na CDM wasije kuwa wazalendo wa bandia.
Tujadili kwa hoja. Mods naomba uiche hii thread kwa manufaa ya taifa

Kaka natamani kukuletea Shanga na Mitandio, poda na wanja.
 
Wana JF Bw. Kadawi Limbu (kiongozi wa ADC) anaongelea mambo ya CUF kupitia WAPO Radio. Anasema wakati wa kampeni huko Igunga Bw. Mtatiro alipewa imprest ya Tshs. 128 millioni mkononi na Bw. Mketo alipewa kiasi cha Tshs. 82 millioni mkononi kwa ajili ya kampeni. Anasema hizo pesa ingekuwa vyema kama zingewekwa kwenye akaunti ya benki na kutolewa kwa utaratibu badala ya kupewa watu malundo yote hayo ya pesa.

Hii imenisumbua kidogo kwa kuwa jana tu hapa tumeambiwa kuwa CDM nao wamempa mtu fuko la pesa kiasi cha Tshs. 19 millioni kwa ajili ya feaasibility study. Mbona inaonekana kana kwamba viongozi wa vyama vya siasa wanagawana ruzuku bila huruma.

Nadhani kama tunataka siasa na wanasiasa ambao wanavutwa na uchungu wa kuwatumikia wananchi ni vyema Ruzuku za viama zikafutwa. Hivi TANU ilikuwa inapata wapi ruzuku wakati inapigania uhuru wa Tanganyika?
 
Hoja yako inakosa credibility kwa sababu ya chuki zako kwa CDM.Hapo unajadili suala la Limbu kuizungumzia CUF kupitia WAPO Radio.Halafu hapohapo kwa chuki zako tu zinzojulikana unaleta fitna kuhusu CDM ili upate wachangiaji.Kwa namna hiyo hutafanikiwa mkubwa!!
 
Hoja yako inakosa credibility kwa sababu ya chuki zako kwa CDM.Hapo unajadili suala la Limbu kuizungumzia CUF kupitia WAPO Radio.Halafu hapohapo kwa chuki zako tu zinazojulikana unaleta fitna kuhusu CDM ili upate wachangiaji.Kwa namna hiyo hutafanikiwa mkubwa!!
 
jibu hoja !!!!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Hoja yako inakosa credibility kwa sababu ya chuki zako kwa CDM.Hapo unajadili suala la Limbu kuizungumzia CUF kupitia WAPO Radio.Halafu hapohapo kwa chuki zako tu zinzojulikana unaleta fitna kuhusu CDM ili upate wachangiaji.Kwa namna hiyo hutafanikiwa mkubwa!!

Mkuu siyo chuki wala nini nimesema maoni yangu. Sina haja ya kuchangia ila tu ni connection ya mambo kwa kuwa CUF waligawana hizo pesa wakati wa uchaguzi na pia kumetokea tuhuma hapa kwamba CDM nao wamegawana pesa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi. Hiyo ya CDM sikuileta mimi hapa ila nimeichangia kwa uwezo wangu. Issue hapa ni ruzuku si CDM wala CCM au CUF. Tatizo lako hutaki CDM itajwe hasa ikiwa inahusu makosa. Kuwa open minded. Nimeweka hoja ya kufuta ruzuku, unasemaje?
 
Bwana Kimbunga, dawa yake na wewe anzisha chama chako ili ujigemee hizo pesa za shamba la bibi kama wenzako wanavyofanya. Usithubutu kwenda ccm kwani akina Nape hawatakubali kupokea majungu yako haya.
 
Wana JF Bw. Kadawi Limbu (kiongozi wa ADC) anaongelea mambo ya CUF kupitia WAPO Radio. Anasema wakati wa kampeni huko Igunga Bw. Mtatiro alipewa imprest ya Tshs. 128 millioni mkononi na Bw. Mketo alipewa kiasi cha Tshs. 82 millioni mkononi kwa ajili ya kampeni. Anasema hizo pesa ingekuwa vyema kama zingewekwa kwenye akaunti ya benki na kutolewa kwa utaratibu badala ya kupewa watu malundo yote hayo ya pesa.

Hii imenisumbua kidogo kwa kuwa jana tu hapa tumeambiwa kuwa CDM nao wamempa mtu fuko la pesa kiasi cha Tshs. 19 millioni kwa ajili ya feaasibility study. Mbona inaonekana kana kwamba viongozi wa vyama vya siasa wanagawana ruzuku bila huruma.

Nadhani kama tunataka siasa na wanasiasa ambao wanavutwa na uchungu wa kuwatumikia wananchi ni vyema Ruzuku za viama zikafutwa. Hivi TANU ilikuwa inapata wapi ruzuku wakati inapigania uhuru wa Tanganyika?

Wasau ruzuku ni zaidi ya ufisadi mnaoufahamu, CCK nimewasikia wakikemea ruzuku kwa vyama tena wakaenda mbali na kusema ruzuku zifutwe na watapigana kufa kupona ruzuku iondolewe, sasa sishangai madai ya huyu jamaa. kuna madudu mengi sana yanafanywa na vyama vya siasa kupitia hizo kodi zetu. kwa mfano mimi siipendi CUF au CCM kwa nini kodi yangu ikakinemeesha chama ambacho mimi sikipendi? Lakini kwa kuwa Wabongo sisi bongo lala wanasiasa wanazichapa pasipo huruma huku sisi wenyewe tukiwashabikia. Amka Mtanzania!
 
Mkuu sina la kusema hapo. Ruzuku zikifutwa tutaona jinsi vyama vitakavyosamabaratika. Huu ni ufisadi kwa kuwa tunachangia Ruzuku kwa vyama ambavyo haviwakilishi walipakodi wote. Inabidi byama viwe vinachangiwa na wachama wake tu.
 
Bwana Kimbunga, dawa yake na wewe anzisha chama chako ili ujigemee hizo pesa za shamba la bibi kama wenzako wanavyofanya. Usithubutu kwenda ccm kwani akina Nape hawatakubali kupokea majungu yako haya.

Mkuu siyo CCM tu ni vyama vyote vinamung'unya tu ruzuku ambazo ni jasho letu.
 
Hoja yako inakosa credibility kwa sababu ya chuki zako kwa CDM.Hapo unajadili suala la Limbu kuizungumzia CUF kupitia WAPO Radio.Halafu hapohapo kwa chuki zako tu zinazojulikana unaleta fitna kuhusu CDM ili upate wachangiaji.Kwa namna hiyo hutafanikiwa mkubwa!!

Hii hoja ni Credible unachotakiwa ni kujibu hoja acha kulia lia, wewe mbona unaanzisha thread dhidi ya CUF, CCM nani alikuuliza mambo ya Credibility.

Mleta hoja kaelezea jinsi vyama vya siasa wanavyogawana Ruzuku wewe unasema ni majungu bila kujenga hoja..

Unachotakiwa kukanusha kwa hoja sio kwa porojo.
 
Hoja yako inakosa credibility kwa sababu ya chuki zako kwa CDM.Hapo unajadili suala la Limbu kuizungumzia CUF kupitia WAPO Radio.Halafu hapohapo kwa chuki zako tu zinazojulikana unaleta fitna kuhusu CDM ili upate wachangiaji.Kwa namna hiyo hutafanikiwa mkubwa!!
Aisee wanakutafuta kule kwenye ile thread ya 19 mil.
 
Wana JF Bw. Kadawi Limbu (kiongozi wa ADC) anaongelea mambo ya CUF kupitia WAPO Radio. Anasema wakati wa kampeni huko Igunga Bw. Mtatiro alipewa imprest ya Tshs. 128 millioni mkononi na Bw. Mketo alipewa kiasi cha Tshs. 82 millioni mkononi kwa ajili ya kampeni. Anasema hizo pesa ingekuwa vyema kama zingewekwa kwenye akaunti ya benki na kutolewa kwa utaratibu badala ya kupewa watu malundo yote hayo ya pesa.

Hii imenisumbua kidogo kwa kuwa jana tu hapa tumeambiwa kuwa CDM nao wamempa mtu fuko la pesa kiasi cha Tshs. 19 millioni kwa ajili ya feaasibility study. Mbona inaonekana kana kwamba viongozi wa vyama vya siasa wanagawana ruzuku bila huruma.

Nadhani kama tunataka siasa na wanasiasa ambao wanavutwa na uchungu wa kuwatumikia wananchi ni vyema Ruzuku za viama zikafutwa. Hivi TANU ilikuwa inapata wapi ruzuku wakati inapigania uhuru wa Tanganyika?

Mkuu Kimbunga your story lacks something. Kuhusu Igunga Mwigulu nae alikuwa na kiasi gani cha kampeni?. Unajua unapotaka kuangalia mnyama gani ni mkubwa porini usiangalia wale unataka kuwawinda tu angalia pori zima, maana wewe unaweza kuwa unafocus kwa nyati tu kumbe kuna Tembo pia.
 
Hi ni hoja mfu mbona hawasemi ccm walienda na shilingi ngapi igunga na huku arusha wamepewa shilingi ngapi?
 
Wana JF Bw. Kadawi Limbu (kiongozi wa ADC) anaongelea mambo ya CUF kupitia WAPO Radio. Anasema wakati wa kampeni huko Igunga Bw. Mtatiro alipewa imprest ya Tshs. 128 millioni mkononi na Bw. Mketo alipewa kiasi cha Tshs. 82 millioni mkononi kwa ajili ya kampeni. Anasema hizo pesa ingekuwa vyema kama zingewekwa kwenye akaunti ya benki na kutolewa kwa utaratibu badala ya kupewa watu malundo yote hayo ya pesa.

Hii imenisumbua kidogo kwa kuwa jana tu hapa tumeambiwa kuwa CDM nao wamempa mtu fuko la pesa kiasi cha Tshs. 19 millioni kwa ajili ya feaasibility study. Mbona inaonekana kana kwamba viongozi wa vyama vya siasa wanagawana ruzuku bila huruma.

Nadhani kama tunataka siasa na wanasiasa ambao wanavutwa na uchungu wa kuwatumikia wananchi ni vyema Ruzuku za viama zikafutwa. Hivi TANU ilikuwa inapata wapi ruzuku wakati inapigania uhuru wa Tanganyika?

Ni makampuni yao binafsi kwa nini wasigawane? hata yeye atazichota tu, sidhani kama anania kweli ya kutumia ruzuku kukijenga hicho chama chake.
 
Back
Top Bottom