Ruwaichi Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Mwanza wapata mrithi wa Marehemu Askofu Mayala! Ni Ruwaichi ambaye amekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza
 
alikuwa jimbo gani kabla, source ya habari hii...

Jina lake kamili ni Askofu Juda Thadaeus Ruwa’ichi, O.F.M. Cap.

Alikuwa ndiye askofu wa Jimbo la Dodoma na ndiye Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).

Hivyo Dodoma sasa imebaki wazi.
 
Huyu jamaa ni kichwa dunia nzima, aliwahi kuwa askofu wa MBURU na kisha akaenda Dom na ni rais wa baraza la maaskofu. Alouliza source ni tec na Hotuba ya papa ben 16 leo saa saba saa za A. mashariki alipokuwa akihutubia st Peter's skwea. Ngoja nitafute cv yake nitarudi baadae!
 
Back
Top Bottom