real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
MBINGA, RUVUMA: Mwanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Lukai
iliyopo kijiji cha Amani Makolo amekutwa na ujauzito wa miezi minne aliosema aliupata baada ya kubakwa akiwa anatoka kanisani kuelekea nyumbani
Mwalimu mkuu wa shule hiyo amesema aliipata taarifa hiyo kutoka mjumbe wa shule na kisha kumchukua pamaoja na wanafunzi wengine wanne na kuwapeleke hospitali kuwachunguza