Ruvuma: Mchungaji feki raia wa Kenya akamatwa akitapeli watu

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Raia mmoja wa Kenya anayeitwa Adinikas Kyuvu amekamatwa mjini Songea katika Mkoa wa Ruvuma kwa tuhuma za kufanya utapeli akijifanya Mchungaji.

Kyuvu amekutwa na vipande vya chupa, shanga, kwato, ubani na kifuu cha nazi ambavyo huvitumia wakati wa maombezi akidai anatenda miujiza na vitu hivyo vinatoka mwilini mwa watu
 
Back
Top Bottom