Elections 2010 Ruvuma has a long way to go on democracy

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Of all the 7 constituencies,all have been taken by CCM
PERAMIHO
JENISTER MHAGAMA
CCM
JOSEPH MHAGAMA
CUF
TUNDURU KASKAZINI
RAMA MATALAMATANI
CCM 19,573
MAZEE RAJAB MAZEE
CUF 17,365
LAMBI ABDALLAH
CHADEMA 604
MAKANYANGA ABDALLAH
UDP 72
TUNDURU KUSINI
ABDALLAH MTATURA
CCM 19,856
MOHAMED MAMBO
CUF 10,930
JACOB MBAWALA
SAU

DAIMA MPAKATE
CHAUSTA
SONGEA MJINI
EMMANUEL NCHIMBI
CCM 27,582
EDSON MBOGORO
CHADEMA 17,495
MTIKITA ISSA MTIKITA
CUF 928
MBINGA MASHARIKI
GAUDENCE KAYOMBO
CCM

BONIFACE NGONYANI
CUF
MBINGA MAGHARIBI
JOHN KOMBA
CCM KASHINDA
CURTHBERT NGWATTA
CUF
NAMTUMBO
VITA KAWAWA
CCM 28,032

HASSAN MTWANGAMBATI
CUF9,529
Kuna haja ya kuiga wenzenu wa Kigoma,mbeya mjini ,arusha mjini etc
CCM mumekuwa nayo for the last 49 years na bado mnaikumbatia
 
Halafu ndio hao hao wanaishi kwenye nyumba za tembe alizokuwa anasema Dr. Slaa. Kuna watu ukiwaona wanateseka wala haina haja ya kuwahurumia kwa kuwa hawataki mabadiliko!
 
kweli hii tabu huku inabidi jeshi maalum la ukombozi lianze kujiandaa kuanzia sasa ili kuukomboa huu mkoa 2015 hivi hivi watakuwa hawabadiliki hawa
 
Ila CCM wamejizatiti nasikia wanapiga rami Songea kwenda Mbinga,Songea to Namtumbo na Songea Tunduru.
Nasikia wanataka kuwapeleka gridi ya taifa
Na huu uvunaji wa Uranium you never know wanaweza kuwakawamua hawa kwenye Lindi la umaskini pamoja na Mkaa kule Ngaka
 
Kuna kuchagua mauti au Uzima. Sisi mbeya mjini tumechagua Uzima lakini wenzetu wameona Mauti ni bora.
 
Ila CCM wamejizatiti nasikia wanapiga rami Songea kwenda Mbinga,Songea to Namtumbo na Songea Tunduru.
Nasikia wanataka kuwapeleka gridi ya taifa
Na huu uvunaji wa Uranium you never know wanaweza kuwakawamua hawa kwenye Lindi la umaskini pamoja na Mkaa kule Ngaka

Mkuu hata wakifanya yote hayo bado naamini CCM sio wabunifu wa kuondoa umaskini wa hawa watu na hilo ndio tatizo kubwa, hebu fikiria watu wa pembezoni mwa ziwa Nyasa bado wanapata mahitaji yao muhimu kutoka malawi na Msumbiji lakini bado wanachangua CCM aarrggg...
 
Achana nao hao, hakuna wanachojua zaidi ya uchawi.maendeleo kwao ni usiku wa giza
 
Ila CCM wamejizatiti nasikia wanapiga rami Songea kwenda Mbinga,Songea to Namtumbo na Songea Tunduru.
Nasikia wanataka kuwapeleka gridi ya taifa
Na huu uvunaji wa Uranium you never know wanaweza kuwakawamua hawa kwenye Lindi la umaskini pamoja na Mkaa kule Ngaka

Hizo ni porojo tu ndugu yangu. Kahama wana dhahabu nyingi tu lakini barabara zao ni za vumbi. Geita ni same stori. Kwa hiyo hata kama kuna uranium, haiwezi kuwasaidia. Wachimba uranium wenyewe hawana interest na kingine zaidi ya hayo madini wanayoyatafuta. Sana sana wanaweza kuweka vitu ambavyo vinawasaidia wao kwenye uchimbaji uranium.

Miaka 5 siyo mingi sana, utakuja kuona. Kila siku utawasikia CCM wanataja barabara zile zile walizokamilisha ujenzi na kumbe wanaweka viraka tu.
 
Jamani,tuzungumzie kuifikia Ruvuma. Kwa taarifa yenu kuna mikoa masikini kuliko Ruvuma ukiangalia mtu mmoja mmoja. Hakuta nyumba za tembe Ruvuma kwa wale msiofika. Tembe ziko Tanga,Pwani,Dodoma na Shinyanga. Kimtazamo wa wengi wanafikiri ndo wameendelea. Mimi nimekulia ruvuma, nimeishi pwani na sasa niko kanda ya ziwa. Wilaya ya Mbinga mfano kuna hadi taa za barabarani,can you believe.

Pili angalia hizo takwimu, CHADEMA iko wapi? ni kweli kuwa CHADEMAni ya kaskazini siyo? Wana-mabadiliko THINK, Tanzania ni pamoja na mikoa ya kusini,siyo k-njaro,arusha na Mwanza tu. Naipenda na kuiunga mkono CHADEMA lakini,tuna vitu vingi vya kufanya kuichukua nchi. Kwa taarifa yetu sote. CUF wanakuja vizuri sana. Sisi CHADEMA tuna vitu vya kujifunza toka CCM na CUF (Hawa jamaa wako kila mahali,sio mijini tu)
 
Ila CCM wamejizatiti nasikia wanapiga rami Songea kwenda Mbinga,Songea to Namtumbo na Songea Tunduru.
Nasikia wanataka kuwapeleka gridi ya taifa
Na huu uvunaji wa Uranium you never know wanaweza kuwakawamua hawa kwenye Lindi la umaskini pamoja na Mkaa kule Ngaka


Kwa msaada wa WAMAREKANI na macho yote yapo NANTUMBO - URANIUM!
 
Pili angalia hizo takwimu, CHADEMA iko wapi? ni kweli kuwa CHADEMAni ya kaskazini siyo? Wana-mabadiliko THINK, Tanzania ni pamoja na mikoa ya kusini,siyo k-njaro,arusha na Mwanza tu. Naipenda na kuiunga mkono CHADEMA lakini, tuna vitu vingi vya kufanya kuichukua nchi. Kwa taarifa yetu sote. CUF wanakuja vizuri sana. Sisi CHADEMA tuna vitu vya kujifunza toka CCM na CUF (Hawa jamaa wako kila mahali,sio mijini tu)

Chadema unayoiongelea wewe ni ya zama hizo, siyo CHADEMA ya mwaka huu. Unaposema kwamba tuangalie takwimu, zipi? Za uchaguzi mwaka huu? CUF wamefanya vizuri kwenye ngome zao ambazo ni Lindi, Mtwara, Ruvuma na Tanga. Hata kama hawakushinda lakini wametoa challenge kwa CCM.

CHADEMA nayo imetoa changamoto kali karibu mikoa yote kasoro Lindi, Mtwara na Tanga. Lakini Ruvuma walikuwepo Songea Mjini na mgombea wao alimtoa jasho Nchimbi. Mkoa wa Morogoro, jimbo la Ulanga, kama siyo mizengwe lilikuwa limeenda kwa Prof Mlambiti, Kilombero mpaka sasa hawataki kutoa matokeo na walioko hapo wanasema mgombea wa CHADEMA kashinda. Sumbawanga mjini mwanzo ilionyesha mgombea wa CHADEMA alikuwa ameshinda, lakini baadaye sijui nini kilitokea CCM akashinda kwa tofauti ya kura chache sana. Mby mjini, Mby Vijijini, na Mbozi Mashariki kote moto wa CHADEMA ulikuwa unawaka. Singida kuna kiti kimechukuliwa. Kwa hiyo dhana yako ya kwamba CHADEMA ni ya kaskazini imepitwa na wakati na haina ukweli. Ni jukumu la mimi na wewe ambao hatutoki mikoa ya Kaskazini kama kweli tunataka mabadiliko na tunaipenda CHADEMA twende tukaisambaze kwenye mikoa yetu na ikiwezekana tuombe kugombea Ubunge/Udiwani.

Mwaka 2015 kama CHADEMA watakuwa makini na kama watawatumia wabunge walioshinda kwenye uchaguzi wa mwaka huu wawe ni chachu ya kuisambaza CHADEMA kwenye mikoa yao, utaikuta CHADEMA imesambaa kwenye majimbo mengi na uwezekano wa kushinda majimbo mengi zaidi ni mkubwa sana.
 
tabu ya baadh wa wa2 wa kusini wanaendekeza sana udini na hawataki maendeleo huku wengine wakiendeleza utamaduni bila ccm amani hakuna..tubadilike jamani hii nchi ni ya kwetu sote tusiangalia ukabila wala udini...ukiona udini kwako ni tija kuna chama cha cuf kipe nguvu pia...tunahitaji wabunge wengi kutoka upinzani...ili kufichua maovu yanayo fanywa na baadh ya mafisadi toka ccm...wapo walio wasafi ila c wengi kama walio wachafu
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Of all the 7 constituencies,all have been taken by CCM
PERAMIHO
JENISTER MHAGAMA
CCM




2


JOSEPH MHAGAMA
CUF








1


TUNDURU KASKAZINI
RAMA MATALAMATANI
CCM
19,573




MAZEE RAJAB MAZEE
CUF
17,365




LAMBI ABDALLAH
CHADEMA
604




MAKANYANGA ABDALLAH
UDP
72







1


TUNDURU KUSINI
ABDALLAH MTATURA
CCM
19,856



2


MOHAMED MAMBO
CUF
10,930



3


JACOB MBAWALA
SAU




4


DAIMA MPAKATE
CHAUSTA




1


SONGEA MJINI
EMMANUEL NCHIMBI
CCM
27,582



2


EDSON MBOGORO
CHADEMA
17,495




MTIKITA ISSA MTIKITA
CUF
928




1


MBINGA MASHARIKI
GAUDENCE KAYOMBO
CCM




2


BONIFACE NGONYANI
CUF


1


MBINGA MAGHARIBI
JOHN KOMBA
CCM


KASHINDA

2


CURTHBERT NGWATTA
CUF










1


NAMTUMBO
VITA KAWAWA
CCM
28,032

KASHINDA

2


HASSAN MTWANGAMBATI
CUF
9,529










Kuna haja ya kuiga wenzenu wa Kigoma,mbeya mjini ,arusha mjini etc
CCM mumekuwa nayo for the last 49 years na bado mnaikumbatia

Aibu Tupu!
 
Wazee wa bombi hii nyumbi hii
Mabadiliko kwao ni mwiko na kuna ambao bado wanaamini Nyerere yu hai
Mbambabay mpooooooooooooooooooooooooooo
 
Personally naanza kampeni leo. I'm recruiting people there to bring changes . Inauma sana, kama hali ndo hii basi narudi Songea jamani.
 
Halafu ndio hao hao wanaishi kwenye nyumba za tembe alizokuwa anasema Dr. Slaa. Kuna watu ukiwaona wanateseka wala haina haja ya kuwahurumia kwa kuwa hawataki mabadiliko!

Wanapaswa kuhurumiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom