Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Sasa apo kuna watu watamshambulia uyo mchungaji na knsa lake
Sawa kabisa.Sisi ni wepesi kuwatupia mawe wengine ilhali wenyewe pengine tuna dhambi kubwa kuliko za wale tunaowatupia."Kubwa juu" mchungaji wewe Ni kwa ajili ya kondoo wa bwana waliopotea na si kwa wale wanaojiona wametakasika kama yule farisayo.Naukumbuka mfano wa YULE mwanamke kahaba aliyefumaniwa na akatakiwa kupigwa mawe hadi kufa. YESU aliwaambia asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha mawe..... wote walisambaratika. Binafsi nampa pongezi mchungaji.... hakuna aliyekamilika.
Nyeto sijui uvumbuzi wake aiseeMkuu kuwacha hio starehe ni mtiti kama nyeto labda ajifungie ndani mwenyewe
Mkiishaanza kale kamchezo sio rahisi kuacha ni kama kula kitimoto ukiishaanza kula kitimoto sio rahisi kuachaHata hivyo walivyokaa selo muda mrefu, inaweza kuwafanya wasitamani tena kale kamchezo
Wanafanyaje mkuu??Inategemeana mkuu ndio maana wanaoigiza wana namna wanavyofanya ili madhara yasiwe makubwa sana
Alijipeleka!Yule mshkaji nae alipelekwa selo?
Mkiishaanza kale kamchezo sio rahisi kuacha ni kama kula kitimoto ukiishaanza kula kitimoto sio rahisi kuacha
DuuuuuuTujiandae kualikwa kwenye ibada ya kutubu na kuombewa kwa kina amba ruty. Waumini muje na swadaka itakayompendeza Mungu
Wewe ulikuwa nje ya nchi? Jana walikuwa mahakamani na James Mtamu.Duh kumbe bado walikuwa selo?watakuwa wamejifunza kama sio kukoma kabisa.