Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,819
2,000
Na vipi yule jamaa mwenye kiherehere anaitwa JAMHURI?
Mlalamikaji yupo!
Yupo lakin hapa hujagusa maslah yake, kitu cha kuogopa sana katika dunia ya leo ni kuingilia maslah ya mtu/kikundi flan zaidi ya kuvunja sheria.
Sometime suala si ukubwa wa kosa, suala n kosa dhidi ya nani? hapa ni kosa dhidi ya jamhuri yetu na si kosa dhidi ya mtu flan katika jamhuri yake.

Jitahd unielewe, usitake niguse maslah ya mtu/kikundi mzee, mimi bd mdg ndugu.
 

1stMay

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
572
1,000
huyu si ndiyo Yule.anajiita komandoo Mashimo.mchungaji wa mitume na manabii wote?
Yule aliyesema ataweka maombi maalumu kwa ajili ya wema? au siyo huyu?
Eeh ndo huyu huyu kila siku asubuhi anakuwa pale Mbezi stand anahubiri.
 

Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
5,735
2,000
Watu wana akili kubwa aisee...
Wameona wakimtumia mchungaji kidogo patapoa@!
Karata zinachangwa...kiukweli!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom