Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana

nyangindo

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
320
500
Naukumbuka mfano wa YULE mwanamke kahaba aliyefumaniwa na akatakiwa kupigwa mawe hadi kufa. YESU aliwaambia asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha mawe..... wote walisambaratika. Binafsi nampa pongezi mchungaji.... hakuna aliyekamilika.
Sawa kabisa.Sisi ni wepesi kuwatupia mawe wengine ilhali wenyewe pengine tuna dhambi kubwa kuliko za wale tunaowatupia."Kubwa juu" mchungaji wewe Ni kwa ajili ya kondoo wa bwana waliopotea na si kwa wale wanaojiona wametakasika kama yule farisayo.
 

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Apr 15, 2018
1,728
2,000
Hiii ndio maana halisi ya utumishi wa Mungu,amewadhamini wadhambi ili apate kuwaonyesha njia sahihi.Naamini atawapatia na msaada wa kiroho pia.Wale vijana walikwisha jifunza makosa yao,lakini jamii ilionyesha kuwatenga.Mtumishi umefanya nafasi yako
 

mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
3,301
2,000
Ina maana wanarud katka geto lao uyo amber na mwenzake!!!!??
Najaribu kuufikiria usiku wa leo tu, uku nikiwa namuangalia man city pale france
 

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,578
2,000
Japo simfahamu huyu mchungaji aliyejitolea kumdhamini msanii maarufu mwenye kesi ya kuanika video za matendo yake machafu mtandaoni (Amber Ruty) ila kwa hali yoyote ile tukubaliane hata kama sio kwa kukubaliana ni kwamba huyu ndiye mchungaji wa kweli kati ya wachache tuliobaki nao duniani katika karne hii na wanao tambua nini maana ya kazi ya uchungaji...Nilitegemea hili jambo liwe limefanywa na wachungaji wengine mapema zaidi tena naambiwa kuna wasanii ambao eti siku hizi wamekuwa wachungaji wao ndio walitakiwa kuwa wa kwanza kumsadia msanii mwenzao.Big up Mchungaji halisi

amber ruth - YouTube
 

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
16,227
2,000
IMG-20181127-WA0022.jpg
 

TUTUO

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,250
2,000
Nenda na huyu biach mwenzio, habari ya mjini ni mafao mnataka kuwatoa watu kwenye reli waanze kumjadili mayala
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom