Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana

huyu si ndiyo Yule.anajiita komandoo Mashimo.mchungaji wa mitume na manabii wote?
Yule aliyesema ataweka maombi maalumu kwa ajili ya wema? au siyo huyu?
 
Mkuu kuwacha hio starehe ni mtiti kama nyeto labda ajifungie ndani mwenyewe
Asante Mungu sikuwahi kujaribu hiyo michezo.

Mbaya zaidi unacheza na mkeo hiyo michezo daah sipati picha ukimuweka mbuzi kagoma inavokuita njoo njoo njooo.

Mungu nashkuru kuniepusha na janga hili
 
Inategemeana mkuu ndio maana wanaoigiza wana namna wanavyofanya ili madhara yasiwe makubwa sana
Asante Mungu sikuwahi kujaribu hiyo michezo.

Mbaya zaidi unacheza na mkeo hiyo michezo daah sipati picha ukimuweka mbuzi kagoma inavokuita njoo njoo njooo.

Mungu nashkuru kuniepusha na janga hili
 
Mpaka mchungaji kaja kumuwekea dhamana basi mungu atakuwa na mipango nao
Subirini soon mtawaona kanisani wakiokoka

Ova
 
Asante Mungu sikuwahi kujaribu hiyo michezo.

Mbaya zaidi unacheza na mkeo hiyo michezo daah sipati picha ukimuweka mbuzi kagoma inavokuita njoo njoo njooo.

Mungu nashkuru kuniepusha na janga hili
Mbuzi kagoma si style tu

Ova
 
kuna wapuuzi utawasikia wanasema mchungaji anatafuta kick.....huyo mtumishi wa Mungu abarikiwe sana coz anajua kaitiwa nini na Mungu....hata manabii na mitume walikuja kwa ajili ya waovu na si wema
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom