Ruto Backs Mudavadi For Dep-PM!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Points
1,195

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 1,195
Ni kweli kabisa kenya ingekuwa na viongozi angalao kumi kama huyu mambo yangebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Hakuna kitu muhimu kama sacrifice unapotokea utata.
Wala hujakosea mkuu nesindiso sir,

Huyu bwana mimi amenishangaza sana maana nilikua natarajia
ataleta za kuleta iwapo hatopewa cheo cha naibu wa Waziri Mkuu.
Jamaa zake(wakalenjin) walimpa Raila kura man to man na ungedhani
Raila ni wa kwao.Lakini jamaa kanyenyekea na kuchukua 'back seat'
huku akiwaambia waosha vinywa kua ODM is not about seats but delivery...kudadeki jamani!!!

http://www.youtube.com/watch?v=ntvMoxb3iiU&feature=user


Heko Bwana Ruto tunakusubiri 2012!​
 

Forum statistics

Threads 1,381,134
Members 525,982
Posts 33,790,053
Top