Ruto abadili dini!?

1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,973
2,497
1482759848740.jpg
arap singh mashamba!
 
Hata Tyson Mike alibadili dini!
Kubadili dini si ajabu siku hizi.

Hata ukizini au ukiiba unakuwa umebadili dini pia.

Ukibeba bomu unakuwa umebadili dini pia.
 
The first time I saw that pic I thought it was photoshop but alas, these politicians know how to embrace gado!
 
Maandalizi ya uchaguzi mkuu!aidha kupata ufadhili na kuungwa mkono katika harakati za kuendelea na safari ya kisiasa
 
Ndio zao wanasiasa, wanakukujia kulingana na unavyotaka. Lakini naona kama Ruto anajaribu kunogesha jinsi watu humwita Singh arap mashamba

10346270_875770062451548_8045740136425237112_n.jpg

0fgjhs5btlunbhal5.r410x190.037e5034.jpg

railaOdinga_legiomaria.jpg
hahaha kwa msimu huu wa kampeni, hata uchi watatembea hawa viongozi. Rao kachapia kweli kweli apo, sijui kaomba wapi hayo mavazi..
mashamba alikuwa anatimiza utabiri wa gado hehe
1482770529329.jpg
1482770538672.jpg
 
Maandalizi ya uchaguzi mkuu!aidha kupata ufadhili na kuungwa mkono katika harakati za kuendelea na safari ya kisiasa
Hongera kwa kuona mbali!
Ndio zao wanasiasa, wanakukujia kulingana na unavyotaka. Lakini naona kama Ruto anajaribu kunogesha jinsi watu humwita Singh arap mashamba

10346270_875770062451548_8045740136425237112_n.jpg

0fgjhs5btlunbhal5.r410x190.037e5034.jpg

railaOdinga_legiomaria.jpg
Na katika picha zote,kapendeza sana!
 
Amebadili kwenda dini gani na uthibitisho ni upi hapa au ni haya mavazi tu? Akina Nyerere na viongozi wengine wanapoalikwa lets say kwa idd huvaa nguo za kiislamu, je ni kwa mavazi tu? Na kama amebadili kweli, si lazima iwe ni kisiasa, ye ni mtu kamili, ana uwezo wala hafungwi kuitafuta kweli popote anapoamini ipo.
 
Back
Top Bottom