Russia's only Aircraft Carrier (Admiral Kuznetsov) catches fire. Kills 1, injures 12 people

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
620
1,000
Ni upuuzi kujaribu kuishambulia Aircraft Carrier kwa ICBM.

Kombora la ICBM limeundwa mahususi kwa ajili ya shabaha zisizohamishika (Fixed Targets). Mfano, miji mikubwa, kambi za jeshi, miundombinu n.k.

Isitoshe, halina mifumo ya kuweza kuzifuatilia na kuzipiga shabaha zinazo hamahama yaani Moving Targets.

Ukumbuke kuwa, Aircraft Carrier ni chombo kinachohama kutoka mahali pamoja kwenda pengine.
umetoa point nzuri sana,kufuatana na mtazamo wako,,ila sayansi imepiga hatua kubwa sana,sasa hivi hizo icbm,kuna ,,guided missile,,ambazo ,kwanza hazipigwi,pili mtu anaiongoza akapige wapi,hata moving object inapigwa vizuri tu,iwapo matokeo yake yatakuwa ni positive,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom