Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,554
- 12,674
Putin mkurupukaji kama Jiwe,yule jamaa angeendelea kuwepo sijui Tanzania ingekuwa wapi.Vita yeyote Ili ushinde inatakiwa upate support Toka Kwa wananchi wa nchi husika.Nyerere alimshinda Amin Sio sababu ya uimara wa JWTZ tu bali alipata pia support ya wananchi wa Uganda,kina Museven.Putin amevamia Ukraine amekuta wananchi wa Taifa Hilo wana uzalendo wa hatari.Askari wa Putin wengi wameuwawa ,kutekwa na kutelekeza vifaru na magari ya kivita🤔Kuweni wapole tu na mkubali ukweli Putin alikurupuka.