Russia yalazimika kuuza mafuta kwa bei ya promotion

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
Kwanza wameanza kwa kumbembeleza India wamuuzie mafuta kwa bei ya hasara angalau tu wapate pesa ya kuendesha vita, na pia wamempigia goti mchina awape msaada wa Fedha na siraha.
Dah! Pumzi imekata mapema sana kwa mrusi.

======

NEW DELHI, March 14 (Reuters) - India is considering taking up a Russian offer to buy its crude oil and other commodities at discounted prices with payment via a rupee-rouble transaction, two Indian officials said, amid tough Western sanctions on Russia over its invasion of Ukraine.

India, which imports 80% of its oil needs, usually buys about 2% to 3% of its supplies from Russia. But with oil prices up 40% so far this year, the government is looking at increasing this if it can help reduce its rising energy bill.

"Russia is offering oil and other commodities at a heavy discount. We will be happy to take that. We have some issues like tanker, insurance cover and oil blends to be resolved. Once we have that we will take the discount offer," one of the Indian government officials said.

Some international traders have been avoiding Russian oil to avoid becoming entangled in sanctions, but the Indian official said sanctions did not prevent India importing the fuel.

Work was ongoing to set up a rupee-rouble trade mechanism to be used to pay for oil and other goods, the official said.

The officials, who both declined to be identified, did not say how much oil was on offer or what the discount was.

The finance ministry did not immediately reply to an email seeking comments.

Russia has urged what it describes as friendly nations to maintain trade and investment ties. India has longstanding defence ties with Russia and abstained from a vote at the United Nations condemning the invasion, although New Delhi has called for an end to the violence.

Russia's Surgutneftegaz (SNGS.MM) allowed Chinese buyers to receive oil without providing letters of credit (LC) payment guarantees in order to bypass sanctions, sources told Reuters. read more

The Indian government, which could see its import bill rise by $50 billion in the fiscal year starting in April, is also looking for cheaper raw materials from Russia and Belarus for fertiliser, as the cost of its subsidy programme has rocketed.

The government, which has already doubled its subsidy bill for the fiscal year to the end of March 31, allocated a further 149 billion Indian rupees ($1.94 billion) on Monday.

The government expects the fertiliser subsidy bill to rise by at least 200 billion to 300 billion rupees in the next financial year, from the current estimate of 1.05 trillion rupees, the two officials said.

"If we can get cheaper fertiliser from Russia then we will take that. It would help in easing some fiscal concerns," one official said.

($1 = 76.6100 Indian rupees)

Reporting by Aftab Ahmed and Manoj Kumar; Editing by Edmund Blair

Reuters

Screenshot_2022-03-14-15-33-02-87.jpg
 
Wajuvi waliwahi kusema "Kitu cha kwanza kuathirika kwenye Vita ni ukweli. Ukweli huaribiwa Sana na propaganda."

Taarifa nyingi kuhusu Vita hii zinatolewa na vyombo vya habari vya magharibi. Nchi ambazo haziko neutral kwenye vita hii. Zina upande, zipo against Russia.

Usitegemee kupata habar nzuri/njema kuhusu russia kutoka VoA, BBC, DEUTCH WELLE, Washington post Wala New York times mkuu.
 
Wajuvi waliwahi kusema "Kitu cha kwanza kuathirika kwenye Vita ni ukweli. Ukweli huaribiwa Sana na propaganda."
Taarifa nyingi kuhusu Vita hii zinatolewa na vyombo vya habari vya magharibi. Nchi ambazo haziko neutral kwenye vita hii. Zina upande, zipo against Russia. Usitegemee kupata habar nzuri/njema kuhusu russia kutoka VoA, BBC, DEUTCH WELLE, Washington post Wala New York times mkuu.
Lakini hivyohivyo vyombo vikitoa habari unazopenda kusikia unaamini!!
 
Wajuvi waliwahi kusema "Kitu cha kwanza kuathirika kwenye Vita ni ukweli. Ukweli huaribiwa Sana na propaganda."
Taarifa nyingi kuhusu Vita hii zinatolewa na vyombo vya habari vya magharibi. Nchi ambazo haziko neutral kwenye vita hii. Zina upande, zipo against Russia. Usitegemee kupata habar nzuri/njema kuhusu russia kutoka VoA, BBC, DEUTCH WELLE, Washington post Wala New York times mkuu.
Kweli kabisa huenda Ukraine walishashindwa vita siku nyingi sana sisi uku tunadanganywa tu. Yaani Russia itumie siku zote izo kupambana na Ukraine haiwezekani kabisa kabisa
 
Wajuvi waliwahi kusema "Kitu cha kwanza kuathirika kwenye Vita ni ukweli. Ukweli huaribiwa Sana na propaganda."
Taarifa nyingi kuhusu Vita hii zinatolewa na vyombo vya habari vya magharibi. Nchi ambazo haziko neutral kwenye vita hii. Zina upande, zipo against Russia. Usitegemee kupata habar nzuri/njema kuhusu russia kutoka VoA, BBC, DEUTCH WELLE, Washington post Wala New York times mkuu.
Tuziamini habari kutoka chombo gani basi?
 
Wajuvi waliwahi kusema "Kitu cha kwanza kuathirika kwenye Vita ni ukweli. Ukweli huaribiwa Sana na propaganda."
Taarifa nyingi kuhusu Vita hii zinatolewa na vyombo vya habari vya magharibi. Nchi ambazo haziko neutral kwenye vita hii. Zina upande, zipo against Russia. Usitegemee kupata habar nzuri/njema kuhusu russia kutoka VoA, BBC, DEUTCH WELLE, Washington post Wala New York times mkuu.
Basi tuletee wewe habari kutoka Pro Russia vinavyosema ukweli mtupu kama vile RT:)
 
Nadhani watu wanakuwa Myopic sana...

Kama Russia ataungwa mkono na India (Soko) na pia China (Soko) hapo ni bye bye USA sababu kina Iran na baadhi ya nchi watakuwa nyuma yao....

It took cold war decades...., na haya mambo zaidi ya mitutu kwenye uwanja na maisha ya Ukraine yanaweza yakabadilisha the economic pendulum....

The Butterfly effect..., a small change here and now can have massive effects over there and then...
 
Back
Top Bottom