Russia yafikiria kuipiga Israel Baada ya Aibu ya S-300 Kuteketezwa

Jeshi Malidadi la Nchi ya Israel IDF limefanikiwa kuteketeza Mtambo wa ulinzi wa Anga wa Syria na kuifanya Russia ishikwe na hasira sana.

Visingizio kadhaa dhidi ya Israel.

1.Israel Imevunja sheria za kimataifa kwa kuingiza ndege vita katika anga la Syria.

2.Israel imehatarisha usalama wa ndege za kiraia zilizokuwa zinatua katika mji wa Dumuscas na Beirut

Russia’s Defense Ministry has said Israel carried out airstrikes on Syrian targets as two civilian flights were landing in Beirut and Damascus, putting passengers at risk.
The Israeli military put two civilian airliners in immediate danger, Igor Konashenkov, the Defense Ministry spokesman, told reporters. “Provocative acts by the Israeli Air Force endangered two passenger jets when six of their F-16s carried out airstrikes on Syria from Lebanese airspace.”

3.Mitambo ya Syria haikutmika kuogofya kutungua ndege za Abiria.

The IDF’s F-16 flew in as civilian jets were landing at Beirut and Damascus airport. The Syrian military didn’t deploy surface-to-air missiles and electronic jamming “to prevent a tragedy” and let Damascus air traffic control divert one of the passenger jets to a reserve airport in Khmeimim.

Israel alishagundua Janja ya Russia kuwa ni adui yake so naye anamchezea kama Polisi na Mbwa wake,
Russia nia yake Israel izungukwe kisha ashawishi Arabs country na Iran ziweze kumchangia Israel ili Israel Ifutike Janja ya kijinga kabisa kuwahi fikiliwa.
Russia anataka kila Israel ikitaka kufanya Shambulio apewe habari mapema... Israel mwanzoni alishawahi kumtaarifu Russia akavijisha siri Israel akapiga kanyaboya kwani Syria alihamisha zana zote kwenye magodown.. Israel akanote na kugundua Russia ni Ndumilakuwili.

Russia baada ya ndege yake kudunguliwa akazuga na kudanganya raia wake kuwa ndege ya Israel zilijificha mgongoni mwa Ndege yao yaani hata mtoto hawezi amini huku Israel akisema yeye alishapaki ndege zake na akatoa hadi ratiba kwa sekunde na nukta kwa ushahidi Russia akaona aibu akaja na ushhidi wake mbuzi Netanyahu akampotezea na kumuambia fanya utakalo ila Nakuonya wajeze ujinga waarabu uwape utakayo ila mimi sitoacha kuona mtu akahatarisha Maisha yangu nitapiga hata ukiweka watu wako.

Syrian airspace has seen a number of dangerous incidents. In September, a tragic sequence of events led to the downing of a Russian surveillance Il-20 plane, which killed all 15 crew on board. The plane was shot down by Syrian air defense units as Israel’s F-16s effectively used it as cover during the attack on its neighbor. Israel firmly denied any culpability.

Sasa Russia kawasha full Mitambo ake Israel kaingia kapasuka ghala la silaha na Kudungua mtambo wa kurushia maroketi wa Syria haijulikani either ni huo Mpya 3-300 au ile ya zamani ya Syria mbayo pia ni ya kirussia... So soko la Mitambo linaanza kuingia Shaka so Mpango ulioamuliwa na Russia kuwa Israel ikipiga na wao wapige kuelekea Israel so Majuzi siku ya X-mass wamepiga na wao ushirikiano wa Russia na Syria bila kuleta madhara yoyote so Russia An HASIRA HADI MISHIPA YA SHINGO IMEMVIMBA anashangazwa na ka nchi kadogo kumsumbua... the Problem hailewi kuwa anashindana na Nguvu za Mungu like Farao.

Jeshi la Israel limesema limeutungua Mtambo ulikuwa ukirusha makombora kwenda kwenye ndege zake... Russia ikakiri kuwa Wanajeshi watatu walijeruhiwa.

Tusubiri tuone nini kitafuatia...

Syria kila siku wamekuwa wakisema wamezuia makombora ila ukiamka asubuhi unakuta Mashomo like Ngorongoro Creator na uharibufu wa hali ya juu... Huwa Nabaki najiuliza why.

IDF nao husema wakishamaliza mashambulio ya Targeti zao hurusha vifataki vingi pole pole na kusepa zao so Syria huangaika nazo hadi majosho huwatoka asubuhi wanakuta majanga matupu... Russia kinawauma kuliko Assad.

Missile defense systems have been activated against targets over Damascus, according to Syrian state agency. It added that incoming missiles came from Lebanese airspace, which reportedly was earlier violated by Israeli aircraft.

  • shares

Satellite photos released by Israeli firm ImageSat International on December 27, 2018, show damaged facilities in Syria purportedly used by Iran that were targeted in an airstrike attributed to Israel. (ImageSat International)

Satellite photos released by Israeli firm ImageSat International on December 27, 2018, show no indication of damage at Damascus airport after unconfirmed reports of an Israeli airstrike. (ImageSat International)

Ukhanisi wetu waafrika kuwaona wayahudi ni watu wa mungu hatujui na wala hatutajua na tuendelee kuwaramba miguu weupe na tutakuwa watumwa mpaka mwisho wa dunia. Leo hii binadamu tunasherekea mwingine kuuliwa. Waliotangulia hawakuwa na makosa kutaka kuwaaangamiza na kuwamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika sijui Nani alituloga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jitahidi sana kujielemisha kwa kuisoma vizuri historia ya Russia. Israeli ni mtoto mdogo sana kwa Russia kijeshi na kitechnologia. In real sense in any shooting war kati ya Russia na Israel, Israel hawezi kumaliza wiki akiwa bado anapigana. Russia inauwezo wa kuichakaza Ulaya nzima yenye nchi 28 with giants powers kama England, France, German and Italy sembuse Israel?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yako yanafurahisha tu kijiwe... Umoja ni Nguvu Tambua hilo even Hitler alikuwa na uwezo zaidi ya Russia but Alichangiwa akachapwa.... So Russia hawezi piga ulaya nzima only akili ndogo zinaweza kuwa na mawazo hayo...

David alionekana hawezi kumpiga hata Kidogo Goliath but Matokeo unayajua... so acha kuishi maisha ya kusadikika.. Kaa Chini ujipange Vita sio Lelemama na Kushinda vita sio kuua askari wote ni Utaalamu tu unaweza piga kisha watu wakaingilia kati game ikawa over uliyempiga akabaki kuugulia tu.
 
Israel inawachapa waarabu ambao ni mataifa masikini wa technology mkuu. Israel ajaribu kuipa ultimatum nchi kama Turkey, German, Uingereza au Ufaransa kama anaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Wadhania Israel analipi la kuogopa vita na Nchi yeyote Middle East? Silaha anazo uwezo anao Just achokozwe tu maana yeye hana la kumchokoza mtu wala kumghasi ila Katiba yao inasema uslama ukihatarishwa lifuatalo ni kijilinda tu. So kawashawishi Waarabu,Waturuki na Wairan wako uvuliwe chupi
 
Ukhanisi wetu waafrika kuwaona wayahudi ni watu wa mungu hatujui na wala hatutajua na tuendelee kuwaramba miguu weupe na tutakuwa watumwa mpaka mwisho wa dunia. Leo hii binadamu tunasherekea mwingine kuuliwa. Waliotangulia hawakuwa na makosa kutaka kuwaaangamiza na kuwamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio unamawazo hayo... kila mtu anachagua anapopapenda
 
Israel hawezi kuwa na bifu na russia

unadhani israel anaweza kusimama kijeshi na urusi?

israel hana jeuri ya kupiga S kwa sasa coz zipo chini ya urusi kwa sasa

kama S zikipigwa hichi kipindi ni sawa na kupiga biashara ya urusi na kila mtu anajua warusi hawanaga utani
Anhaaa eeet eeh
 
Naona mashabiki wa taifa teule wameanza kuweweseka vyombo vyote vya habari jana vimeripoti tarifa ya kuharibiwa makombora ya israel iliyo yarusha kwenda siria .haya yote uliyo yaandika ni kujaribu kuficha aibu mlioipata jana .
Watakuja na vifungu vya bible kuwa nao makini
 
Maneno yako yanafurahisha tu kijiwe... Umoja ni Nguvu Tambua hilo even Hitler alikuwa na uwezo zaidi ya Russia but Alichangiwa akachapwa.... So Russia hawezi piga ulaya nzima only akili ndogo zinaweza kuwa na mawazo hayo...

David alionekana hawezi kumpiga hata Kidogo Goliath but Matokeo unayajua... so acha kuishi maisha ya kusadikika.. Kaa Chini ujipange Vita sio Lelemama na Kushinda vita sio kuua askari wote ni Utaalamu tu unaweza piga kisha watu wakaingilia kati game ikawa over uliyempiga akabaki kuugulia tu.
Unaota wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi Malidadi la Nchi ya Israel IDF limefanikiwa kuteketeza Mtambo wa ulinzi wa Anga wa Syria na kuifanya Russia ishikwe na hasira sana.

Visingizio kadhaa dhidi ya Israel.

1.Israel Imevunja sheria za kimataifa kwa kuingiza ndege vita katika anga la Syria.

2.Israel imehatarisha usalama wa ndege za kiraia zilizokuwa zinatua katika mji wa Dumuscas na Beirut

Russia’s Defense Ministry has said Israel carried out airstrikes on Syrian targets as two civilian flights were landing in Beirut and Damascus, putting passengers at risk.
The Israeli military put two civilian airliners in immediate danger, Igor Konashenkov, the Defense Ministry spokesman, told reporters. “Provocative acts by the Israeli Air Force endangered two passenger jets when six of their F-16s carried out airstrikes on Syria from Lebanese airspace.”

3.Mitambo ya Syria haikutmika kuogofya kutungua ndege za Abiria.

The IDF’s F-16 flew in as civilian jets were landing at Beirut and Damascus airport. The Syrian military didn’t deploy surface-to-air missiles and electronic jamming “to prevent a tragedy” and let Damascus air traffic control divert one of the passenger jets to a reserve airport in Khmeimim.

Israel alishagundua Janja ya Russia kuwa ni adui yake so naye anamchezea kama Polisi na Mbwa wake,
Russia nia yake Israel izungukwe kisha ashawishi Arabs country na Iran ziweze kumchangia Israel ili Israel Ifutike Janja ya kijinga kabisa kuwahi fikiliwa.
Russia anataka kila Israel ikitaka kufanya Shambulio apewe habari mapema... Israel mwanzoni alishawahi kumtaarifu Russia akavijisha siri Israel akapiga kanyaboya kwani Syria alihamisha zana zote kwenye magodown.. Israel akanote na kugundua Russia ni Ndumilakuwili.

Russia baada ya ndege yake kudunguliwa akazuga na kudanganya raia wake kuwa ndege ya Israel zilijificha mgongoni mwa Ndege yao yaani hata mtoto hawezi amini huku Israel akisema yeye alishapaki ndege zake na akatoa hadi ratiba kwa sekunde na nukta kwa ushahidi Russia akaona aibu akaja na ushhidi wake mbuzi Netanyahu akampotezea na kumuambia fanya utakalo ila Nakuonya wajeze ujinga waarabu uwape utakayo ila mimi sitoacha kuona mtu akahatarisha Maisha yangu nitapiga hata ukiweka watu wako.

Syrian airspace has seen a number of dangerous incidents. In September, a tragic sequence of events led to the downing of a Russian surveillance Il-20 plane, which killed all 15 crew on board. The plane was shot down by Syrian air defense units as Israel’s F-16s effectively used it as cover during the attack on its neighbor. Israel firmly denied any culpability.

Sasa Russia kawasha full Mitambo ake Israel kaingia kapasuka ghala la silaha na Kudungua mtambo wa kurushia maroketi wa Syria haijulikani either ni huo Mpya 3-300 au ile ya zamani ya Syria mbayo pia ni ya kirussia... So soko la Mitambo linaanza kuingia Shaka so Mpango ulioamuliwa na Russia kuwa Israel ikipiga na wao wapige kuelekea Israel so Majuzi siku ya X-mass wamepiga na wao ushirikiano wa Russia na Syria bila kuleta madhara yoyote so Russia An HASIRA HADI MISHIPA YA SHINGO IMEMVIMBA anashangazwa na ka nchi kadogo kumsumbua... the Problem hailewi kuwa anashindana na Nguvu za Mungu like Farao.

Jeshi la Israel limesema limeutungua Mtambo ulikuwa ukirusha makombora kwenda kwenye ndege zake... Russia ikakiri kuwa Wanajeshi watatu walijeruhiwa.

Tusubiri tuone nini kitafuatia...

Syria kila siku wamekuwa wakisema wamezuia makombora ila ukiamka asubuhi unakuta Mashomo like Ngorongoro Creator na uharibufu wa hali ya juu... Huwa Nabaki najiuliza why.

IDF nao husema wakishamaliza mashambulio ya Targeti zao hurusha vifataki vingi pole pole na kusepa zao so Syria huangaika nazo hadi majosho huwatoka asubuhi wanakuta majanga matupu... Russia kinawauma kuliko Assad.

Missile defense systems have been activated against targets over Damascus, according to Syrian state agency. It added that incoming missiles came from Lebanese airspace, which reportedly was earlier violated by Israeli aircraft.

  • shares

Satellite photos released by Israeli firm ImageSat International on December 27, 2018, show damaged facilities in Syria purportedly used by Iran that were targeted in an airstrike attributed to Israel. (ImageSat International)

Satellite photos released by Israeli firm ImageSat International on December 27, 2018, show no indication of damage at Damascus airport after unconfirmed reports of an Israeli airstrike. (ImageSat International)

Satellite photos released by Israeli firm ImageSat International on December 27, 2018, show damaged facilities in Syria purportedly used by Iran that were targeted in an airstrike attributed to Israel. (ImageSat International)
hivi hiyo s 300,unaijua shughuli yake au unaisikia tu,hiyo siyo ya kutungulia viroketi,au mashambulizi ya drone ndo uwashe s300,israel ndege zake zinasimama juu ya anga la lebanon,ndo zinatuma mabomu,israel wenyewe wanajua shughuli ya s300 si ya mchezomchezo,amezidisha mashambulizi syria baada ya marekani kuondoa majeshi yake,hii imewauma sana israel,hivyo wanatafuta sababu ili iran ingie vitani,ili marekani waje kumpiga iran..
 
Mkuu wataka niambia kuwa hizo S-300 hazitokuja kuwashwa kisa Israel anawatungua Wairan na wasyria na Ndege za f15
 
ikianza vita kamili kati ya israel na syria,na israel akaamua kuingiza ndege zake syria nfo utajua s300 ni nini,kwa vita ya anga waarabu wote hawamuwezi israel,ana ndege bora,rubani bora na technic za vita,lakini makombora ya kuangusha ndege katika vita zote zilizopita ndo yamekuwa yakimpa hasara sana ya ndege zake za vita..
 
Back
Top Bottom