Russia yaanza utengenezaji wa makombora ya S-500

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,481
3,120
wadau na mashabiki wa russia,naona mambo yanazidi kunoga,watu walikuwa na hofu sana na s400,ambayo inapiga mpaka km 400,sasa s500,inapiga km 600,sasa sijui wale wanaotegemea meli kurusha ndege,vinaweza kuzamishwa vyote,Russia hatari sana,sema hajitangazi sana na hana mbwembwe kama bwana yule..
Screenshot_2019-07-10-21-34-29.jpeg
Screenshot_2019-07-10-21-37-42.jpeg
 
Tuliaminishwa haya machumachuma yaliofungwa syria yanaona mpaka tel aviv yaani toka rubani anawasha ingini mtu syria anajua....vipi kwenye kuzuia....!?maana israel anapiga kila sehemu anayopenda huko syria......juzi israel kashambulia mita 200 zilipo hizo s400 na hakuna kitu....au mnazimaga mkienda kuswali?!
 
Ivi hiki kitaifa cha Israel mbona lenyewe silioni kwenye mnyukano wakuvumbua silaha kali kali,, wanaotamba ni irán, Usa, russia, north korea etc,
Iki kitaifa cha Israel kinachosifiwa sifiwa ña waisrail wanywa gongo wa tz mbona chenyewe sijawaisikia wametoa silaha yoyote ambayo inasifika kwa ubora, mí nadhani usalama wa Israel upo mkononi mwa Usa, waisrael kukosa América saizi ishafutwa
 
Back
Top Bottom