Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,520
- 65,188
Ukiushika mpira ukiwa unaangalia upande mwingine kamwe haiwezekani kuwa penalt. Mbeleko kwa mwenyeji hii.
Umesema kweli Mkuu,penalt hii inanikumbusha waliyopewa Iran vs Portugal.
Haikuwa sahihi kabisa