Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Post yangu ya kwanza JF baada ya mwaka mmoja kupita!
I miss everything... especially marafiki zangu vipenzi na huku mpirani hahaaaaa.

Anyways,baada ya kipenzi changu Cr7 kutoka jana imebidi nichepuke kwa France na Croatia.
Hello JF
@nifah yuleyule na lipstick yake. Karibu mama. [HASHTAG]#TeamCroatia[/HASHTAG]. Baada ya kipenzi cha watu Messi kuondoka.
 
Aigoooooo,hello hyungnyim
Huyu dogo jana kanikosha sana,naona anafuata nyendo za shujaa wake sio kwa mbio zile za jana.

Ila jamani jana Cr7 angefanya nini? Bernado jana kaniudhi kidogo nivunje TV! Yeye ndiye aliyetunyima ushindi jana.
bingo
anyeong haseyo noonaaa
ㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
izo mbio zake ajipange vizuri sana kwa sheikh diego godin
5b3202b87134f6c91d000001.jpeg
 
Mlio karibu na TV ubao unasomekaje nasikia mtu kajifunga.

Mimi ndio naelekea bandani sasa hivi


Lazima ajifunge, alikuwa anamkaba Ramos kwenye box, matokeo wote wakaenda chini akaweka mpira nyavuni kwake. Genius Ramos, amuulize Salah, alikula judo moja Dunia yote ilikuwa inalia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom