libent
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 382
- 84
ninahisi Rusia,china na waarabu watakua wing moja dhidi ya marekani,ulaya na israel.Sasa Africa sub saharan itaegemea wapi?
nchi za kiafrika zitaponzwa na unafiki wao ule ule walioutumia wa kutofungamana kokote iliyowafanya waunde NAM ndo watakapoona mziki wa marekani na Nato tumuombe Mungu jamani ila havitachukua muda mrefu kama Yesu alivyosema kwamba siku zisingefupishwa hakuna mwanadamu ambaye angesalia maana biological weapons na nyuklia ndo zitatumika