Russia wapeleka meli ya kivita Syria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Russia wapeleka meli ya kivita Syria

Discussion in 'International Forum' started by thinka, Nov 19, 2011.

 1. t

  thinka JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hatimaye urusi wamepeleka meli ya kivita syria kuzuia shambulio lolote litakalo fanywa dhidi ya syria. source:press tv
   
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  US hakanyagi kule kwa sababu hakuna mafuta..
   
 3. t

  thinka JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Anaweza akaenda kule coz syria ni threat kwa israel.
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  U-threat wa syria kwa Israel siuoni. Labda niulize ni nchi gani ya kiarabu inayoweza kuleta fyokofyoko kwa taifa teule la Israel? Mwenye jibu anijuze.
   
 5. T

  Thesi JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Russia is ruled dictetorial as Syria. Is Russia that is giving Assad strength to kill his people. God new that corrupt and authoritative countries like Russia n China do not deserve world power enjoyed by USA n Western Europe.
  Give Russia n China power you will find innocent people killed in thousands without anywhere to be heard in justice.
  With all mistakes of the west they are still the voice of those oppressed by authoritative governments. Palestine is a special case that no one can resolve except Palestines themselves if they come to senses of reality n not religion fundamentality.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  mimi ninakujibu IRAN ınaweza kuleta fyoko fyoko na kumuondolea mbali Israil katika ramani ya dunia, IRAN ina Silaha ya Nyuklia inaweza kuimaliza Israil kwa dakika 10 tu .
   
 7. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Iran hana misuli ya kumpoteza Israel.Hakuna Taifa lenye nguvu duniani kama Israel
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Russia anajitakia matatizo.
   
 9. P

  Percival JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  There are many zionists slaves in this forum. They have been braiwashed that Israel is special nations - what a shame for Africans who have suffered colonialism abuses to have such inferiority minds.

  This evil nation you call ' taifa teule' has been supporting Apatheid south Africa regime oppressing your African brothers while Tanzania was at front line supporting the liberations movement and they have never left their mentality of oppresing others and dominating.

  If it is not for the western countries your Israel would have gone long time ago.
   
 10. J

  Judgment Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @Jamii01! Kwamba Israel is a largest powerfull in the world! My aim was not 2 disagree 4 wht ur talkin' abt! Bt if u describe some truth data uta2saidia kuamini hilo kw vl nielewavyo mie ni ya 3 duniani baada ya USA, RUSSIA, kw nguvu za kijeshi na c kiuchumi
   
 11. N

  Nonda JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Huu uteule ulianzia 1948? au kule Ujerumani na Poland?
  Uteule huu unatokana na hili taifa "kum-crucify" bwana yetu?

  Taifa lililo teule haliwezi kutegemea silaha za nyuklia na kufanya destruction ya mataifa mengine.

  Kiufupi dunia imetekwa nyara na kuwekwa katika utumwa wa deni na international bankers,hakuna cha uteule katika hili ni Umafia tu. Wao humwaga fedha kwa pande zote mbili katika mzozo kwa kutegemea kuvuna faida zaidi.
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mukuu Thesi
  Hivi creation of Israel in 1948 haikuwa special case?
  Nani ali-resolve hii case ya 1948?
   
 13. t

  thinka JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
   
 14. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mh! kaliteuwa nani?
  je ulikuwepo lilipoteuliwa?
  Imani za kulazimisha.
   
 15. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Taifa teule ambalo haliamini kwamba Yesu ni mwana wa Mungu???
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Na PROXY ya IRAN katika kuifyokoa ISRAEL ni Lebanon(Hizboulah) na SYRIA.
   
 17. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Russia,China na wengine wote wala si marafiki wema.Kila mmoja anaangalia maslahi yake ya kidunia.Syria nayo iangalie maslahi yake ya kidunia na kiakhera.Ikiwa katika ushindani wa maslahi ya kidunia mchuano ni mkali nguvu zote apeleke maslahi ya akhera.Mafanikio ni mia kwa mia.
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  ngumu hiyo mkuu, hta iran wenyewe wameanza kuwa na wasiwasi kwamba israel anaweza akaharibu mitambo yao wanayoijenga by now. na jamaa walishafanya hivyo kwa nchi nyingine jirani na iran
   
 19. u

  utantambua JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndoto za alinacha. Iran wanatamani wangekua na uwezo huo!
   
 20. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Iran iko njiani kupata silaha za Nyulklia hivyo haiko full nucrear na haina huo uwezo ila inaelekea kuja kuwa tishio nakwa sababu ilishatishia kufuta nchi nyingine kwenye Ramani ya Dunia basi Irani imepata kibali rasmi cha kupigwa na Israel.
   
Loading...