russia wamegundua hazina kubwa ya almasi

Kama ndo hivyo basi kuna mabadiliko makubwa katika uchumi wa dunia yanakuja, si ajabu mkaskia almas imepigwa marufuku
 
They will have to regulate production, just like De Beers does, otherwise, as pointed out, the typica demand and supply curve for luxury items which has price decreasing with increased supply will apply.

Wazkizifakamia sana itafikia mpaka tutakunywa katika glasi za almasi.

But that Putin won't let that happen.
 
Hapana Mkuu. Huyu kijana wa Saint Petersbug anacheza JUDO na siyo KARATE.

judo-putin_2296508b.jpg

Mkuu Urusi ni nchi kubwa kuanzia Europe mpaka far East, inaongoza kwa kuwa na natural resources nyingi kuanzia:Mafuta, Gas na Madini ya kila aina. Bravo Russia under PUTIN a KARATE kid.
 
Hapana Mkuu. Huyu kijana wa Saint Petersbug anacheza JUDO na siyo KARATE.
judo-putin_2296508b.jpg

Mkuu SIKONGE, Thanks a lot 4 the photo - ala kumbe ni judo siyo KARATE. Nimekumbuka kisa kimoja PUTIN alicho wahi kumshtua Bush Jr wakati alipo kwenda kumtembela Saint Petersburg - Putin alimwambia BushJr wazunguke zunguke kwenye Bustani ya Ikulu ndogo ya hapo Saint Petersburg, walipofika kwenye FISHPOND wakasimama kidogo kuingalia samaki, mara ghafla PUTIN katumbukiza mkono wake kwenye POND kwa kasi ya ajabu, alipo hibua mkono wake kutoka majini ukawa umeshikilia SAMAKI aliye kuwa anatapatapa - Bush alibaki midomo WAZI!!
 
Wangelitaka ni kweli wangelifanya hivyo zamani kwa sababu hii mitambo ndiyo wao Warusi walivumbua.....

They will have to regulate production, just like De Beers does, otherwise, as pointed out, the typica demand and supply curve for luxury items which has price decreasing with increased supply will apply.

Wazkizifakamia sana itafikia mpaka tutakunywa katika glasi za almasi.

But that Putin won't let that happen.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Urusi ni nchi kubwa kuanzia Europe mpaka far East, inaongoza kwa kuwa na natural resources nyingi kuanzia:Mafuta, Gas na Madini ya kila aina. Bravo Russia under PUTIN a KARATE kid.

...!! No noo

1: Russia si kuanzia EUROPE mpaka FAR EAST ...XXXXX

2: Russia si NCHI INAYOONGOZA kwa kutoa Mafuta, gas au madini.....

3: Putin doesn't know karate .... plays JUDO...

... Be sure of what u write..!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom