Russia to Send S-300 Anti-Missile System to Syria After Il-20 Crash

Kwa picha hii,nathubutu kabisa kusema kuwa Iran hawez kupambana na Muisrael.Iran alipaswa kufanya yanayofanywa na Mrusi huko syria lakini hadi sasa yuko kimya na hajajibu chochote pamoja na askari wake kuuwawa kila kukicha
 
Kwa wapenzi wa habar za Russia ,pakuen App ya "Sputnik".

Nilipoisoma hii habar, nimejikuta najawa nahofu ukizingatia kile kilichoandikwa na Ezekiel ndani ya Biblia juu ya Vita ya Amagedon ndio kinaelekea !!.
 
Mhuni fulani yupo kwenye shithole country kama yetu, anasema eti Russia hana fedha za kuisambaza s-300. Haaahaaaaa. Poor us.
Sio mhuni ni ukweli mtupu Russia mwenyewe anatengeneza lakini hawezi kuikinga nchi yake yote... Mitambo ni ya ghali sana Syria Mwenyewe kuipata hadi atoe pesa na order atengenezewe... even Iran alinunua mmoja tu kwa sasa anacopy kutengeneza mwenyewe japo Iran kwa uongo hamna anayewaweza... Hizo Mtambo zinacover eneo kubwa sana la Mraba so you don't need Mitambo Mingi ni wewe tu uwe na speed ya kuijaza makombora kwani Rada inasoma na kurusha yenyewe... so kazi inakuwa kwa Pilot kama kukwepa au kusepa nje ya eneo la hatari... So Makombora ukiishiwa Israel au teketeza tu mtambo kwani anauwezo wa kuona makombora yanapotokea... kama alipouchakaza mtambo wa S-200
 
Ndege haziingii tena ndani ya Syira toka ile F16 ilipo angushwa. hata tukio la juzi, mashambulizi ya israili yalifanyika mbali sana kwenye bahari ya mediterainia karibu na Syrpus wakilenga mji wa Latakia na Homs
Unayo habari kuwa Mashambilizi zaidi ya 200 yashafanyika ndani ya Syria? so inaamaana yote ni baharini? au hufuatilii news raia huona matukio yote na huandikwa
 
Una evidence yoyote kuonyesha kwamba walijificha nyuma ya Ndege ya Russia?!
Ipo Video ya Russia hata ukiitazama utaona ni ujinga tu ati ndege ya Israel imeganda hadi ndege ya russia ilipotunguliwa ndio zikasepa animation ya kupuuzi sana Putin anatafuta huruma ya raia wake tu nadhani kamuomba Israel amsitiri tu... Ndege ya Russia imetungiliwa wakati ndege za Israel zishasepa na kutua zake israel
 
Hivi kuandika F-35 umekurupuka usingizini au njaa inakuuma? Hizo ndege ni Mpya na hazina record ya kutunguliwa sababu hazionekani kwa Rada yeyote.... Au wewe ni manusura wa Mv Nyerere?

F-16 za Israel haziwezi kujificha kwa ndege ya Russia... Russia kuwakingia kifua tu Waarabu Video aliyoonesha ni kichekesho kikubwa hata Israel wameombwa wakaushe tu ati Ndege za Israel ziliganda hewani hadi bomu la kijilinda la syria lilipoitungua ndege ya Russia ndio ndege zikasepa.... Israel kapeleka full picture hadi ndege zake zimetua uwanjanji na pilot washashuka Syria ndio akaanza kurusha makombora kwa zaidi ya Dakika 40... Masikini Wa Russia hewani wakakutana na makombora wakadedi... Russia ni Ndumila kiwili sio wa Kumuamini... Putin katafuta msalie Mtume kwa Israel amsitiri maana Russia walichukia sana kudunguliwa na Msyria anayemfadhiri... Kwani Syria wao wanarusha rusha tu ovyo makombora ubaya hata hawakuangalia ndege gani iliyopo hewani askari wote waliohusika walikamatwa...kwa Ujinga na upumbavu last walipoitungua Ndege ya Israel F-16 Walirusha hovyo hovyo makombora wakaipata so ndio walichoona kutafuta sifa tena ndio imewatokea puani.
F-35 ilipigwa,israel wakadai iligonga ndege(mnyama) huko angani..watu wakaomba waone ilivogongwa na kunguru,wakagoma..mabaki wameyafungia kwenye hanga
 
Ipo Video ya Russia hata ukiitazama utaona ni ujinga tu ati ndege ya Israel imeganda hadi ndege ya russia ilipotunguliwa ndio zikasepa animation ya kupuuzi sana Putin anatafuta huruma ya raia wake tu nadhani kamuomba Israel amsitiri tu... Ndege ya Russia imetungiliwa wakati ndege za Israel zishasepa na kutua zake israel
Pia wamesahau kwamba Israel aliingia hadi ndani ya Syria kuzilipua hizo S200
 
Pia wamesahau kwamba Israel aliingia hadi ndani ya Syria kuzilipua hizo S200
Israel will not cease operations in Syria, Defense Minister Avigdor Lieberman announced just before the Russian military published a detailed chronology of the downing of its Il-20, for which Moscow says Tel Aviv is to blame.
In the run-up to the publication of the Russian Defense Ministry report, Lieberman told local Kan Bet radio that he is not eager to engage in a media debate with Moscow over the incident. However, he was quick to reiterate that Syrian government forces were responsible for the incident.
The top Israeli military official stated that “nothing” has or will change in Tel Aviv’s approach to the Arab Republic, which it considers to be turning into Iran’s “base” for anti-Israeli operations.

Israel ni mtu wa Vitendo kasema kavideo ka Urusi hawana muda na kujibizana nao Muhimu ataendelea kuipoga Syria hadi pale atakapomaliza kuwaondosha Wairan na magaidi wenzake... Russia afanye atakalo kuwasidia waarabu. Israel hana Shida na Msyria kivile Tatizo ni Iran na Mrussia anatambua hilo... am sure Israel akiona Tatizo zaidi la Mrusi vita itageuka for Sure... Netanyahu kasema kazi yake ni Kuilinda Israel Period.
 
Ipo Video ya Russia hata ukiitazama utaona ni ujinga tu ati ndege ya Israel imeganda hadi ndege ya russia ilipotunguliwa ndio zikasepa animation ya kupuuzi sana Putin anatafuta huruma ya raia wake tu nadhani kamuomba Israel amsitiri tu... Ndege ya Russia imetungiliwa wakati ndege za Israel zishasepa na kutua zake israel
we tuwekee video yako hapa inayoonyesha kuwa ndege ya urus ilipigwa wakati ndege za israel zimeshasepa,,sio unaongea hovyo kama walevi vilabuni....hoja hujibiwa kwa hoja....tupia video yako
 
Back
Top Bottom