Russia sends 2,400 tons of food to North korea

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,223
22,380
Russia sends 2,400 tons of food to North Korea
By Elizabeth Shim
May 19, 2016 at 12:24 PM

SEOUL, May 19 (UPI) -- Russia has sent North Korea 2,400 tons of food aid at a time when the country is still facing critical food shortages.

The Russian embassy in Pyongyang made the announcement this week that 2,394 tons of flour and other food items have been sent to the North Korean port city of Chongjin, Sputnik news agency reported Thursday.

The flour was sent through the United Nations World Food Program and was made possible with a Russian donation, according to South Korean news agency Yonhap.

This is the second time in 2016 Russia has delivered a shipment. In March, Moscow provided funds for the delivery of 2,500 tons of flour to North Korea.

The flour is to be used to produce nutritious biscuits and cereals that can be distributed to child daycare centers in North Hamgyong and Kangwon provinces, according to the report.

North Korea maintains a state rationing system, but the rations do not provide adequate nutrition.

Some sources have said the price of rice in the gray markets, where most ordinary North Koreans procure their food, has risen dramatically, but it wasn't confirmed whether the price increase is the result of economic sanctions that passed in March.

The most vulnerable groups are women and children, according to the World Food Program.

One in three North Korean children under age 5 suffer from stunted growth due to malnutrition, and one-third of North Korean women are afflicted by anemia, according to Damian Kean, WFP's regional communications officer for Asia.

Last September, the International Food Policy Research Institute in Washington, D.C., issued a report that stated 1 in 4 North Korean children suffer from acute anemia, and compared to developing countries China and Mongolia, children are three times more likely to be developmentally challenged.
 
kuna watu humu wana amini north korea ni nchi tajiri yenye maendeleo kisa wana nuclear. ukiwaambia north korea ni nchi inayotegemea misaada ya chakula wanakwambia ni America propaganda. haya sasa na hii cjui ni Russia propaganda
 
Hawa north Korea kila siku kujaribu makombora huku hawawekezi kwenye tech ya kilimo kumbe ni majuha kiasi hiki
 
Hivi kuna nchi ngapi zenye ubalozi North Korea?

Ndo mara yangu ya kwanza kusikia ubalozi wa Russia N.Korea.
 
Hawa north Korea kila siku kujaribu makombora huku hawawekezi kwenye tech ya kilimo kumbe ni majuha kiasi hiki
Mkuu kama isingelikua vikwazo vya roho mbaya na fitina za kijinga za Marekani,NK ingekua ni moja ya nchi tajiri na yeny maendeleo makubwa kabisa hapa duniani.Hawa walikua marafiki wa Tanzania wa zamani na walikua wanatusaidia tujikwamue kwenye chakula kwa kuendesha na kusimamia mradi mkubwa kabisa wa kilimo nchini kwetu,ktk bonde la mto rufiji,tungefanikiwa hapo Tanzania ingejitosheleza kwa kilimo na chakula hapa Afrika.Mradi huo ulikua ukiitwa KOTACO, TZ Korea cooperation.Huu madi ulisimama baada za fitina za US kwa nchi hiyo kuanza.mfano mwingine ni fitina na vikwazo kwa nchi ya CUBA,kama sio hivyo CUBA ingekua juu sana.
 
Hivi kuna nchi ngapi zenye ubalozi North Korea?

Ndo mara yangu ya kwanza kusikia ubalozi wa Russia N.Korea.
NK ina ubalozi na wenzie waliotengwa kwa roho mbaya ya Marekani,pengine CUBA,IRAN,na nchi zisizoburuzwa na Marekani. Nafikiri pia Uchina ina ubalozi na watu hawa .Bila kusahau Mbabe Vietnam nae aweza kuwa na ubalozi. Haya sio maelezo rasmi.tehe tehe.
 
kweli urusi sio taifa la mchezo
Zamani huko Marekani ukitaka kutisha mtoto asifanye au afanye jambo, kwa mfano hataki kula walikua wanatishwa kwa kuambiwa "eat" akikataa anaambiwa "Russians are comming",mtoto nduki anaenda kula.Ama kama mtoto hataki kuingia ndani anambiwa,"Russians are comming" dogo lazima aingie ndani tu,maana hamana namna nyingine.
 
Russianman unavyofanya sio vizuri! Unazidi kuwapa vifo vya heart attack amerekennyambaff
 
Mkuu kama isingelikua vikwazo vya roho mbaya na fitina za kijinga za Marekani,NK ingekua ni moja ya nchi tajiri na yeny maendeleo makubwa kabisa hapa duniani.Hawa walikua marafiki wa Tanzania wa zamani na walikua wanatusaidia tujikwamue kwenye chakula kwa kuendesha na kusimamia mradi mkubwa kabisa wa kilimo nchini kwetu,ktk bonde la mto rufiji,tungefanikiwa hapo Tanzania ingejitosheleza kwa kilimo na chakula hapa Afrika.Mradi huo ulikua ukiitwa KOTACO, TZ Korea cooperation.Huu madi ulisimama baada za fitina za US kwa nchi hiyo kuanza.mfano mwingine ni fitina na vikwazo kwa nchi ya CUBA,kama sio hivyo CUBA ingekua juu sana.
Thanx Kwa taarifa lkn inajikwamuaje na makucha ya hao mabepari?
 
Thanx Kwa taarifa lkn inajikwamuaje na makucha ya hao mabepari?
Mkuu mtu akiamua kukuwekea fitina watu wakutenge unakua huna uwezo wa kuuza bidhaa zako ,hivyo unapungukiwa hela za kufanaya matumizi,pia unawekewa vikwazo vya kununua bidhaa usizoweza kuzalisha kwako,hivyo unakua na uhaba wa bidhaa za kutumia,pia unawekewa vikwazo vya kushirikiana na sehemu nyingine ya ulimwengu.Hayo yote kwa pamoja yanakufanaya hata kama wewe ni mahili kiasi gani kiuchumi, kiuzalishaji,kisayansi,kiteknolojia unadhoofika kiuchumi na kidipolomasia na hii inapelekea watu wako wakuchukie na kutaka mabadiliko ya amani ama ya nguvu.Ukiwa kiongozi legelege utang'oka. Tumekua tukiambiwa NK ni taifa masikini,lkn ki ukweli si masikini ila sema tu limewekewa vikwazo na majambazi ya dunia.wakitaka kujua uwezo wa taifa hili waondoe vikwazo waone mambo yake.Hata hivyo duniani huwezi kuchukiwa na watu wote, kuna Mataifa yenye roho nzuri hushirikiana na taifa hili,mfano ndo hao waliopeleka misaada na nchi kama China,Iran n.k.Hivi unaweza kunijibu ni kosa gani NK walifanya mpaka kupelekea kuwekewa vikwazo vinavyosababisha vifo vya wanawake na watoto?
 
sasa huyu ndo alikua anataka ligi na usa baby kama tu msosi hana?
Ndg yangu huyu hana msosi kwa sababu kawekewa vikwazo vya kutoshirikiana na mataifa mengine kama kuuza na kununua bidhaa kutoka nje,ungekua wewe ungefanyaje?,Tanzania ikikosa sukari,mchele au mahindi huagiza nje,sasa hawa hawaruhusiwi. Na yeyeote atakaemuuzia au kununua chochote kwa huyu bwana ataonekana amekiuka amri ya vikwazo nae atachukuliwa hatua,wanaoweza kukiuka na wasifanywe chochote ni hao waliopeleka ma tani ya vyakula.Vikwazo ni vikwazo tu hata awe nani vitamuathiri tu hata awe huyo jambazi la dunia vitamuathiri tu. Vipi nchi nyingi za duniani zikisusia bidhaa za marekani itakua salama?,waache kutumi dola, mambo yao yote,wasinunue wala kuiuzia.
 
Back
Top Bottom