Russia: Rais Putin anyeshewa na mvua bila ya kukatisha wimbo wa taifa

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,687
2,000
Huko Moscow leo Raisi Vladmir Putin alikuwa ameenda kutoa Heshima kwenye kaburi la wanajeshi wa Urusi waliokufa kwenye Vita vya pili vya dunia. Sasa alienda kuweka shahada la maua na moja ya nyimbo za taifa za Urusi ya Kisovyeti zilianza kupigwa ghafla mvua ikaanza kuanguka.
Jamaa akaganda tu bila kuondoka pale hadi wimbo unaisha ndiyo akarudi kuchukua mwamvuli.

CC: Bukyanagandi
 

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,456
2,000
Wasiokuwa na makando kando hao...hawana ushirika kwenye mamlaka, hakuna wa kumkata jicho......ndivyo nchi inavyotawaliwa

Demokrasia ni maigizo tuu, walioendelea wote hawana hiyo demokrasia tunayoihubiri huku Africa.

Mkuu The Bold, JFK aliuwawaje vile???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom