Russia Military base in Mozambique

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,071
15,927
1597302156362.png

Russia is planning to step up its military cooperation with African countries as part of its new Africa strategy, including building bases in six countries, Germany daily Bild reported Tuesday, citing a secret German Foreign Ministry report. The classified document on what it calls “Russia’s new Africa ambitions” says Russian President Vladimir Putin had made “Africa a top priority.”

An important aspect of Russia’s advance in Africa is military cooperation with some of the continent’s dictatorial regimes, it said. “Since 2015, Russia has concluded military cooperation agreements with 21 countries in Africa,” according to the leaked document.

Previously, there were only four military cooperation treaties across the entire continent, it added. Furthermore, it said, the Kremlin was “contractually assured” it would “be allowed to build military bases in six countries,” namely the Central African Republic, Egypt, Eritrea, Madagascar, Mozambique, and Sudan.

Moreover, Russia’s army is partially secretly and partially officially training soldiers from those countries, according to the report. For example, 180 Russian army instructors are based in the Central African Republic or elsewhere in Africa, said the report.

“Around 20 Malian soldiers are trained in Russia every year,” it added. But Russia is not only aiming for a permanent deployment of its troops in Africa but it also increasingly relying on private armies or proxy groups like the Wagner Group — infamous for supporting warlord Khalifa Haftar in Libya — said the report.

Ministry experts labelled the group a Russian “hybrid instrument to exert political, economic, and military influence.” Kremlin mercenaries could also be deployed to help stabilise dictatorial African regimes, it said. The capabilities of Russia’s armed forces and mercenaries are “of great interest for autocratic regimes in possible use against their own people,” the report added.

Meanwhile, Russia is already a major arms supplier to the African continent. With a market share of 37.6%, Russia is the top weapons supplier to Africa, followed by the US with 16%, France with 14%, and China with 9%.

Algeria reportedly remains the biggest recipient of Russian arms in Africa, followed by Egypt, Sudan, and Angola.
 
What can Africa gain economically by offering Russia military bases?

The former Ethiopian dictator Mengistu Haille Mariam was once the closest ally of the former communist USSR, but when the regime in Soviet collapsed so was the Mengistu's dictatorial regime.

The potential Russian military adventure in Africa once again won't help the host countries economically but the Russians will.

It's high time Africa should learn to stand on her own feet rather than revelling at the fake honeymoons offered by the greedy foreign powers who are merely riding on the back of this impoverished continent.
 
Russia hawana hela za kuendesha base Africa kwa Sasa.. wako weak Sana kiuchumi..
Fikiria gharama za kuendesha base yao pale Syria Hymeim airbase ni US dolla 100 milioni per day..
Je wakiwa nazo nyingine wanawezea wapi?
Maslahi? Maslahi gani?
 
they are surely punching above their weight. Technology is slowly moving away from hydrocarbons which contribute a lot to the russian economy and Mr. Putin has failed to create economic diversification. Bottom line they dont have the cash to generate power by maintaining military bases all over poor Africa, it seems the have other sinister motives.
 
Russia hawana hela za kuendesha base Africa kwa Sasa.. wako weak Sana kiuchumi..
Fikiria gharama za kuendesha base yao pale Syria Hymeim airbase ni US dolla 100 milioni per day..
Je wakiwa nazo nyingine wanawezea wapi?
Maslahi? Maslahi gani?
Wako hoi eti kustaafu wamepangiwa miaka 65. Wanataka watu wafe kabla ya 65 wakombe hela zirudi serilkaini. Hivi kuna nchi ya Africa kustaafu ni miaka 65?
 
Na waafrika tulivyo wajinga hadi leo bado tunawasujudu hawa watu...sijui tunapata nini zaidi kuja kutuvuruga tuu...Mchina, Mrusi na Mmarekani wote hawana faida kwetu zaidi ya rasilimali zetu zinazowatoa udenda. Sijui lini waafrika tutaamka na kusimama wenyewe.
 
Russia hawana hela za kuendesha base Africa kwa Sasa.. wako weak Sana kiuchumi..
Fikiria gharama za kuendesha base yao pale Syria Hymeim airbase ni US dolla 100 milioni per day..
Je wakiwa nazo nyingine wanawezea wapi?
Maslahi? Maslahi gani?
Warusi wapo Africa muda tu ndugu sema labda wewe ndo huna taarifa.
Warusi wana base msumbiji, jamhuri ya africa ya kati, Sudan na Libya

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni lile swala la kutoa priorities kwa Franch Speaking countries. Nchi zinazoongea kufaransa wao ufaransa ni kama kwao, ili mradi wawe na nauli tu.
Mkuu mimi binafsi nadhani Ufaransa amezishikilia hizi nchi kwa kutumia ule mkataba aliosaini na hizi nchi pindi baada ya kuzipatia Uhuru. Mkataba ulizitaka hizi nchi ziwe zinaweka akiba yao ya fedha kwenye Benki Kuu ya Ufaransa na siyo kwenye benki kuu ya nchi za Afrika Magharibi (BCEAO): Zaidi ya asilimia 80% ya akiba za hizi nchi inaenda Ufaransa na ili kutumia ni lazima waombe ruhusa kutoka Ufaransa. Nadhani lugha mchango wake ni mdogo sana......
 
Mkuu mimi binafsi nadhani Ufaransa amezishikilia hizi nchi kwa kutumia ule mkataba aliosaini na hizi nchi pindi baada ya kuzipatia Uhuru. Mkataba ulizitaka hizi nchi ziwe zinaweka akiba yao ya fedha kwenye Benki Kuu ya Ufaransa na siyo kwenye benki kuu ya nchi za Afrika Magharibi (BCEAO): Zaidi ya asilimia 80% ya akiba za hizi nchi inaenda Ufaransa na ili kutumia ni lazima waombe ruhusa kutoka Ufaransa. Nadhani lugha mchango wake ni mdogo sana......

Ofcourse mchango wa ufaransa kwa Franch speaking countries haupo material kwa nchi bali to some individuals in those countries. France ni kati ya mataifa yasiyo na la maana sana.

Kitendo cha kusaidia individuals ambao ni wachache kinapelekea nchi husika kuzorota na wao kuendelea ku benefit.

Kuna issue moja hapo Bangui wanajeshi wa Burundi waliopo kwenye kikosi cha kulinda amani cha UN waliwahi kupigwa ambush kambini kwao, walio engineer tukio lile walikuwa ni France na sababu ilikua ni askari wale wa Burundi kuanza kutoa mafunzo ya kilimo kwa wananchi wa maeneo yale.

Ukitaka umuone France ni mshenzi basi jaribu kuingia Bangui na baadhi ya nchi za Africa ya kati ujifanye unataka kuzisaidia zijijenge zijisimamie, nakuapia France atakufuata popote akufanye kitu mbaya.
 
Back
Top Bottom