antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,626
- 120,157
🚮🚮🚮And how about the US and the UK?Watch this👇.
🚮🚮🚮And how about the US and the UK?Watch this👇.
So you believe Western Goverments which are 100% controlled by the Zio-Anglo-American Axis for the obvious lies!Narudia tena,na naomba usione kwamba nakutana,wewe ni Zombie tayari kwa kuwa you sing their song.Pole sana.Wewe ndiye ZOMBIE Og sasa 🙄
Hata wananchi wa Urusi, pamoja na ukandamizaji MKUBWA kule, wanapinga mauaji ya kihuni yanayotekelezwa na muuaji Putin huko Ukraine bila sababu ya msingi, wewe unatetea kwa kutumia propaganda ndeefu!!!
So you think Putin is honest and is telling the whole truth?!So you believe Western Goverments which are 100% controlled by the Anglo-American-Zionist Axis and the obvious lies.Narudia tena,na naomba usione kwamba nakutana,wewe ni Zombie tayari,you sing their song,pole.
Haihitaji elimu ya PhD kujua kwamba Putin is smart,na Western leaders are mere morons of the NWO establishment "antimatter." Anyway,even your name "antimatter" gives me a clue of your mind setting. Thankyou for sharing even though.So you think Putin is honest and is telling the whole truth?!
Ww ndiyo zombie namba moja.
Hujitambui.
Unataka kila mmoja akubaliane na maoni yako potofu, tena yanayoegemea upande mmoja.
Sina muda wa kubishana hapa.
Tukubali kutokukubaliana.
I'll ignore you henceforth
Uache ujinga huyu anatetea nchi yake hafi kiurahisi,sio ww hata ukiishiwa tu kidogo unakubali mkeo wamle upate mahitaji. Kupigana kwaajili ya nchi yako ni ushujaa hata ukifa siombaya.EU and NATO treating their mad puppet like stooges (no offense) but what he is doing naanza kuamini ana apply comedy in the serious issues like these that cost people's life yeye familia yake ipo UK na German wanakula good time.View attachment 2147351
Vita hii ni kati ya Ukraine na Urusi,kwa hiyo watakao athirika ni wale waliokuwa wanaitegemea Ukraine for Wheat na other agricultural commodities. Wengine pia ni wale waliokuwa wanaitegemea Urusi for agricultural commodities,gas,oil,steel,precious metals and other items.Kwa hiyo sitegemei kabisa sisi huku kuathirika kwa kuwa hatuingiliani na Urusi kibiashara.Sema tatizo ni utapeli wa The Powers To Be( TPTB) au NWO.Hawa wataitumia nafasi hii kuharibu uchumi wa Dunia,na wameshaanza kupiga talalila,ikionyesha wazi kwamba wana nia ya kufanya hivyo kwa kisingizio cha vita kati ya Ukraine na Urusi,kitu ambacho si kweli.War Effect itajionesha soon
Mbona US ameingilia nchi nyingi ambazo zilikuwa huru kama Libya n.k, fahamu kuwa Urusi anapigana na US kwenye vazi la Ukraine, hivyo basi ile Ukraine itakuwa magofu kweli kweliHuu ni ukweli boss.... kwanini nchi moja huru iamue hatma ya nchi nyingine huru?
Hata Urusi pia itaathirika Sana na hii Vita (vikwazo), kiufupi hii Vita ikimalizika itaacha athari mbaya kila sehemu (rejea kupanda bei kwa mafuta,ngano,gesi n.k)
...War is Evil....