Russia-Burundi relation: Hii inaashiria nini kwa siasa za Burundi?

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
613
1,776
Habari wanaJF,

Natumai mungali bukheri wa afya. Niende kwenye mada.

Ikiwa imesalia miezi kadhaa tu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu nchini Burundi, nchi ambayo inakosolewa na jumuiya ya kimataifa kwa ukiukaji wa haki za binadamu na ukandamizaji dhidi ya upinzani, inaimarisha uhusiano wake na Urusi, suala ambalo wachambuzi wa mambo wanathubutu kufikiri kuwa huenda taifa hilo la Afrika Mashariki likategemea msaada wa kisiasa toka Urusi.

Juzi Jumanne akiwa katika ziara iliyolenga kuimarisha mahusiano baina ya Burundi na Urusi jijini Moscow, Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Ezekiel Nibigira alifanya mazungumzo na mwenzake wa Urusi Sergei Lavrov ambaye aliweka bayana kuunga mkono kutoingiliwa kwa Burundi katika masuala yake ya ndani.

"Tumethibitisha msimamo wetu usiobadilika kuhusu uhuru wa Burundi. Na tukasema kwamba kuingilia kwa mataifa ya kigeni katika maswala ya ndani ya Burundi haikubaliki ", alisema Lavrov.

Kwa hatua hii, Urusi imeonesha uungaji wake mkono wa bila kupepesa macho kwa viongozi wa Burundi, tofauti na nchi nyingine za Magharibi ambazo zimekuwa zikiishutumu vikali nchi hiyo kwa ukandamizaji wa haki na uhuru wa raia wake.

"Ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa Serikali na wananchi wa wa Urusi. Hapa ningependa kusisitiza misaada mbalimbalii Burundi inayopata kutoka Urusi. Misaada mbalimbali muhimu ya Urusi kwa Burundi inaonesha uhusiano wa ndani kabisa kati ya nchi hizi mbili” alisema Bw. Nibigira

Ikumbukwe kuwa tangu mwaka 2015 wakati mgogoro wa kisiasa ulipoanza nchini Burundi, baada ya Rais Nkurunzinza kutangaza kuwania muhula mwingine, vyombo huru vya habari nchini humo na mashirika yasiyo ya kiserikali vimefungiwa huku raia wakiripotiwa kutoroka nchi hiyo.

Je, uungaji mkono huu wa Urusi kwa Burundi unaweza kuleta matokeo gani?
 
Mkuu unaijua Urusi kweli?
Urusi hajawahi kulisaidia taifa lolote Duniani kiuchumi zaidi ya kukutumia wewe kwa maslahi yao.
Hapo Urusi wanataka kuuza silaha tu na si vinginevyo
Siyo bure, kuna jambo nyuma ya pazia ambalo taifa la Urusi litanufaika.
Muda si mrefu uliopita Urusi imeiuzia Burundi silaha kali za kivita zenye thamani ya USD 1 billion kwa makubaliano ya kupewa mikataba ya kuchimba madini yenye thamani kubwa (cobalt) yanayopatikana kwa wingi nchini Burundi.
 
Urusi ni matapeli tu hao, hawajawahi kuisaidia nchi yoyote kiuchumi. Mwaka 1984 walikuwa wakimdanganya aliyekuwa rais wa Ethiopia dictator Mengistu Haille Mariam kuwa alikuwa mshirika wao huku maelfu ya waethiopia wakifa njaa.

Wamewadanganya wee akina Mugabe na Maduro hadi chumi zao zilipoporomoka kabisa.

Hawa Russians hawawezi kuisaidia nchi yoyote kiuchumi huku na wenyewe wakiwa taabani kiuchumi, wao wauze silaha tu ili wapate kijikimu kwani ndio bidhaa pekee wanayoweza kuuza nje.
 
Burundi(shithole country) yenye budget ya only $800mil tena hapo na pesa za wafadhili zikijumlisha sijui ita-strike deal gani na Russia.,hahah.

Shithole countries katika Africa siyo Burundi pekee; zipo nyingine pia: South Sudan, PK's Rwanda, nk. South Sudan pamoja na kuwa ina reserve kubwa ya mafuta haina la kujivunia. Rwanda inapumua kiuchumi kwa sababu ya Western & US donations na uporaji wa maliasili ya DRC. Siku DRC ikitulia na wavamizi kutoka nchi jirani (hasa Rwanda) na mabwana zao wakidhibitiwa, ndipo tutakapo ona economic growth halisi ya Rwanda.

Mfano, Rwanda ni leading seller wa madini ya coltan ilhali hawana migodi ya madini hayo nchini humo. Madini hayo hupatikana DRC pekee. Rwanda pia huuza dhahabu, almasi, mbao za miti ya asili ilhali hata ardhi ya kuchunga ng'ombe hawana. Ndiyo maana wafugaji (wahamiaji haramu) kutoka Rwanda wamekimbilia kwenye hifadhi zilizoko Kagera kuchunga ng'ombe na kufanya ujambazi. Utalii wanaotangaza sana ili wageni waje Rwanda ni sokwe, milima na mafuvu (skeleton) ya binadamu.

Kwahiyo, kwenye list ya shithole countries huwezi kuiweka pembeni Rwanda.
 
Hahahaha
Shithole countries katika Africa siyo Burundi pekee; zipo nyingine pia: South Sudan, PK's Rwanda, nk.
South Sudan pamoja na kuwa ina reserve kubwa ya mafuta haina la kujivunia.
Rwanda inapumua kiuchumi kwa sababu ya Western & US donations na uporaji wa maliasili ya DRC. Siku DRC ikitulia na wavamizi kutoka nchi jirani (hasa Rwanda) na mabwana zao wakidhibitiwa, ndipo tutakapo ona economic growth halisi ya Rwanda.

Nasema hivi zote hizo ulizozitaja na ambazo hujazitaja ni shithole countries tena fuckin.g shitholes.

No excuse no apology

Russia hana cha ku-gain kutoka Burundi(shithole country) yenye FDI ya $200,000(Yaani hela ya kununulia Range rover 1 ndio FDI ya nchi nzima.

Shithole.

Hahahaha, asee naona km povu kdg juu ya Rwanda

Mbuzi ( Rwanda ) hula kwa urefu wa kamba yake
 
Nasema hivi zote hizo ulizozitaja na ambazo hujazitaja ni shithole countries tena fuckin.g shitholes.

No excuse no apology

Russia hana cha ku-gain kutoka Burundi(shithole country) yenye FDI ya $200,000(Yaani hela ya kununulia Range rover 1 ndio FDI ya nchi nzima.

Shithole.
Hahaaaaa!

Burundi (shithole) ni third kama siyo second runner kidunia kwa kumiliki hifadhi kubwa ya madini ya cobalt yanayopatikana kwa wingi katika eneo la Msongati near central Burundi. Wana madini mengine pia e.g. Tin, gold, nickel, Uranium, etc bila kusahau gesi kwenye ziwa Tanganyika. Rwanda wao wanamiliki nini? Rwanda can be shithole more than Burundi.
 
Hahaaaaa!
Burundi (shithole) ni third kama siyo second runner kidunia kwa kumiliki hifadhi kubwa ya madini ya cobalt yanayopatikana kwa wingi katika eneo la Msongati near central Burundi. Wana madini mengine pia e.g. Tin, gold, nickel, bila kusahau gesi kwenye ziwa Tanganyika. Rwanda wao wanamiliki nini? Rwanda can be shithole more than Burundi.
Yaani hata wangemiliki Mbuga kubwa zote duniani,Madini yote na kila kitu bado haiondoi yenyewe kua Super Shithole Country.

Nchi yenye FDI ya $200,000 itaongea nini mbele ya Russia?
 
Ulisema Urusi haina cha ku-gain Burundi. Mimi nimekuonesha vitu ambavyo Urusi itapata!
 
PUMBA
Urusi ni matapeli tu hao, hawajawahi kuisaidia nchi yoyote kiuchumi. Mwaka 1984 walikuwa wakimdanganya aliyekuwa rais wa Ethiopia dictator Mengistu Haille Mariam kuwa alikuwa mshirika wao huku maelfu ya waethiopia wakifa njaa.

Wamewadanganya wee akina Mugabe na Maduro hadi chumi zao zilipoporomoka kabisa.

Hawa Russians hawawezi kuisaidia nchi yoyote kiuchumi huku na wenyewe wakiwa taabani kiuchumi, wao wauze silaha tu ili wapate kijikimu kwani ndio bidhaa pekee wanayoweza kuuza nje.
Unahisi ZIMBABWE Na VENEZUELA Bila Ya Kuekewa Vikwazo Vya Kipuuzi Na Bwanazenu wakubwa wa MAGHARIBI Uchumi Wao Ungekua Pale Ulipo ?!

RUSSIA Kahusika Vpa Na Kudorora Uchumi Wa Hizo Nchi Tajwa Hapo Juu

ACHENI UNAFIQ
 
Siyo bure, kuna jambo nyuma ya pazia ambalo taifa la Urusi litanufaika.
Muda si mrefu uliopita Urusi imeiuzia Burundi silaha kali za kivita zenye thamani ya USD 1 billion kwa makubaliano ya kupewa mikataba ya kuchimba madini yenye thamani kubwa (cobalt) yanayopatikana kwa wingi nchini Burundi.
Unaona sasa, nimefika Burundi mwaka jana, aisee wana maisha magumu, yaani Tanzania ni afadhali, nchi Kama Burundi ni ya kutoa $1Bil kununua silaha na wakati haipo vitani?
Aisee Africa ililaaniwa kabisa
 
PUMBAUnahisi ZIMBABWE Na VENEZUELA Bila Ya Kuekewa Vikwazo Vya Kipuuzi Na Bwanazenu wakubwa wa MAGHARIBI Uchumi Wao Ungekua Pale Ulipo ?!

RUSSIA Kahusika Vpa Na Kudorora Uchumi Wa Hizo Nchi Tajwa Hapo Juu

ACHENI UNAFIQ
Huna uelewa ndo maana hata hoja huna, bwana zenu ndo nini?
Jenga zenye mashiko wakati wa ku comment na siyo matusi.
 
Hahah mzee baba ukitoka huko Kwa tshisekedi pitia Burundi hapo kuna jamaa humu JF anasema kuna madini adimu sana hayapo dunia nzima na soon yataifanya Burundi kua donor Country,hahah.
Onesha nilipotamka maneno yako haya!
Rwanda ina reserve ya madini iliyopora DRC na skeleton za wafu tu basi.
 
Back
Top Bottom