Russia and China have voted the UN resolution on Syria

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,075
WARUSI NA WACHINA WAONYESHA "UTU"....WAPINGA UDHALIMU WA SERIKALI ZA MAGHARIBI KWA NJIA YA VETO

Russia and China have vetoed the UN resolution on Syria

Russia and China have vetoed the UN resolution on Syria, urging political dialogue instead of proposed tough sanctions on Bashar al-Assad's regime. The move caused outrage from the US.
Members of the UN Security Council have voted on a draft resolution on Syria on Tuesday. The resolution was not passed with nine votes in favor, two against, and four abstentions, with Russia and China voting against the proposed resolution.

Russia's envoy to the UN, Vitaly Churkin, said that Russia did not support the resolution because it was based on a totally different philosophy, "a philosophy of confrontation," and contained "an ultimatum of sanctions."

China's ambassador, Li Bandong, said his country had opposed the resolution because "sanctions, or threat of sanctions, do not help the situation in Syria but rather complicate the situation."
The US ambassador, Susan Rice, expressed "outrage" at the UN Security Council's failure to pass a resolution on Syria, saying that the "council has utterly failed to address an urgent moral challenge and a growing threat to regional peace and security."
"Today, two members have vetoed a vastly watered-down text that doesn't even mention sanctions," she added. "Those who oppose this resolution and give cover to a brutal regime will have to answer to the Syrian people – and indeed to people across the region."
In order for the resolution to be adopted, nine of the 15 Security Council members had to support it, with none of the veto-wielding members voting against.
The vote followed weeks of debate over whether to impose sanctions against Bashar al-Assad's regime. Many countries had been working on finding a text that could result in a compromise among the 15 Security Council members.
Earlier on Tuesday, Russia's deputy foreign minister, Gennady Gatilov, said that the current resolution was "unacceptable" as it envisaged sanctions and did not call on Assad's government to start talks with the opposition, Interfax news agency reported.
Many Security Council members do not want Syria to turn into another Libya. Russia and China cast a veto on resolution, as its text left the door open for further sanctions.
Russia repeatedly said that it would not support any text in a resolution that would leave the door open for sanctions, so Britain, France, Germany and Portugal dropped the word ‘sanctions' from their draft resolution.
The US, Turkey, and other countries had independently imposed sanctions against President Bashar al-Assad's regime. But all this time Russia was spearheading more negotiations, and rejected resolution drafts put forward by other UN members.

Protests in Syria erupted in March and during the government's harsh response more than 2700 people have since died, according to the UN's own figures.
China's and Russia's veto is very important and the correct decision, which will be beneficial for the peaceful settlement of the Syrian conflict, Xiang Songzuo, deputy director at Beijing's Center for International Monetary Research told RT.
Experience demonstrates that sanctions are not the best way to settle domestic conflicts, he stresses. "Only by peaceful dialogue we can bring stability and peace in Syria and other countries."
However, despite the veto there is a very strong likelihood of the US acting unilaterally in the conflict and taking action against Syria, Mr. Xiang insists.

Russia and China veto UN resolution on Syria — RT
 
Nafikiri hii VETO UN wameiomba, maana hali sio nzuri sana kwao libya. Kugawanya majeshi libya na na syria ingekuwa blow kwao ukizingatia tena na uchumi wao sasa ni tete.
 
Nafikiri hii VETO UN wameiomba, maana hali sio nzuri sana kwao libya. Kugawanya majeshi libya na na syria ingekuwa blow kwao ukizingatia tena na uchumi wao sasa ni tete.
Sasa hivi vita ya Libya haipo tena.Je mara hii nini kimesukuma VETO hii kurudi tena mezani?
 
Kwa hiyo wewe unafurahia watu wanavyouawa huko syria? After all mara nyingi tu nchi za magharibi zimekwenda vitani bila idhini ya UN. Syria hakuna benefit kwa nchi za magharibi, other wise wangekuwa wameshamfurusha zamaaniii.
 
kuna benefit kubwa mno kama waiju kuwa syria ni nchi ya jirani na israel.lzm kuwe na serikali ambaye itakuwa pupet ili masliha ya israel yatekelezwe
 
Mkuu taratibu, twende pole pole. Katika nchi zote ambako Ulaya na Marekani wameshiriki kuangusha serikali (kwa ruhusa ya UN) walizozituhumu kwa makosa yaliyokuzwa na vyombo vyao vya habari(Irak,Afghanstan,Libya) wamepoteza maisha ya raia wa nchi hizo wangapi? Na je. walipomaliza shughuli yao hiyo, raia walioenda kuwarejeshea "amani" katika nchi hizo wamewaacha katika mazingira gani? Nina imani utajibu maswali haya mawili kiuungwana kabisa.
 
Bado China na Urusi wanazidi kuonyesha UTU wao kwa raia wa Syria....kumbuka hii ni toka 2011 tangu walipoonyesha utu wao.

After the council vote, Vitaly Churkin, the Russian UN ambassador, said at the Security Council that the vetoed draft resolution, if adopted, would "lay the ground for the eventual outside military intervention" in Syria.

Churkin blamed France, which initiated the draft resolution, for trying once again to "create a pretext for armed intervention in the Syrian conflict," while "fully aware of the failure it will meet" in the wake of the council vote.

"It is striking that there is not a single word on the political settlement and the negotiation process among the Syrians " mentioned in a communique at the end of the May 15 meeting on Syria in London, he said.

SOURCE:http://news.xinhuanet.com/english/world/2014-05/22/c_126536348.htm
 
Mkuu taratibu, twende pole pole. Katika nchi zote ambako Ulaya na Marekani wameshiriki kuangusha serikali (kwa ruhusa ya UN) walizozituhumu kwa makosa yaliyokuzwa na vyombo vyao vya habari(Irak,Afghanstan,Libya) wamepoteza maisha ya raia wa nchi hizo wangapi? Na je. walipomaliza shughuli yao hiyo, raia walioenda kuwarejeshea "amani" katika nchi hizo wamewaacha katika mazingira gani? Nina imani utajibu maswali haya mawili kiuungwana kabisa.

Kweli kabisa mkuu. Mimi huwa najiuliza sana. Kila jamaa wa magharibi na US wanaokwenda kuleta eti 'DEMOKRASIA' ni balaa tupu. Walimuua mzee wa watu Libya alikuwa ameituliza, sasa ni umwagaji mkubwa wa Damu. Lakini baadhi ya watu hawaoni hii. Sijui itaisha lini jamani. Tujalibu hata kutumia akili ya kawaida tu, siyo kila tunachoambiwa na CNN na BBC tukiamini.
 
Kwa hiyo wewe unafurahia watu wanavyouawa huko syria? After all mara nyingi tu nchi za magharibi zimekwenda vitani bila idhini ya UN. Syria hakuna benefit kwa nchi za magharibi, other wise wangekuwa wameshamfurusha zamaaniii.

sera za mataifa ya magharibi mimi zinanichanganya kweli. Kwa hivi sasa wauaji Syria sio Assad bali waislam wenye misimamo mikali wakiwapo Alkaida ambao wanaungwa mkono na Marekania. Hawa wanataka usiwepo hata Ukristo Syria. Kwanini Marekani wana vita na magaidi wote duniani with exceptional of Syria?
 
kuna benefit kubwa mno kama waiju kuwa syria ni nchi ya jirani na israel.lzm kuwe na serikali ambaye itakuwa pupet ili masliha ya israel yatekelezwe

Umesema kweli mkuu pia kuna pipe ya gas wanataka kuipitisha kwenda nchi za magharibi kupitia syria kutokea qatar wanapahitaji sana ,but no one to trust Assad government or rebels anabaki katulia tu.
 
Kwa hiyo wewe unafurahia watu wanavyouawa huko syria? After all mara nyingi tu nchi za magharibi zimekwenda vitani bila idhini ya UN. Syria hakuna benefit kwa nchi za magharibi, other wise wangekuwa wameshamfurusha zamaaniii.

Labda kama Russia na China zingekua hazipo...
 
Back
Top Bottom