Russia-Africa Summit: Majaliwa angemzawadia Rais Putin vitabu vya kujifunzia Kiswahili ingeweza kuitangaza vema lugha yetu

22 Oct 2018
Nairobi, Kenya

Balozi wa Japan humu nchini Toshitsugu Uesawa ajivunia kuzungumnza Kiswahili sanifu licha ya kujifunza lugha hiyo miaka arobaini iliyopita huko Tanzania.

Source: Citizen TV Kenya

Safi sana
 
Kwenye baadhi ya softiwea huwa pana uchaguzi wa lugha mbalimbali, kila lugha ikiwakilishwa na bendera ya nchi lugha hiyo izungumzwapo sana. Kiswahili kwa kawaida huwakilishwa na bendera ya nchi ipi? Hili ni eneo la kuliangalia nalo.
Nina suggest Kiswahili kiwakilishwe na bendera ya Tanzania.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

UTANGULIZI
==========
Kwa kawaida idara ya ujasusi ya KGB ilikuwa ikiongozwa na wanajeshi wa vyeo vya Majorr Generals tu tangu kuanzishwa kwake ila Vladmir Putin kabla ya kuwa Rais wa Russia alikuwa ndiye boss wa kwanza wa KGB akiwa na cheo cha Lieutenant Colonel na haijawahi kutokea tena mpaka leo hii.

Probably alijifunza Kiswahili ile "basics" alipokuwa anafundisha maofisa wetu enzi zile za Mwalimu Nyerere, wakati huo Putin akiwa bado ofisa mdogo sana tena wa ngazi za chini kwenye idara hiyo ya ujasusi wa jeshi la USSR.

Baadae akaja akawa resident spy/station chief wa KGB huko jijini Dresden East German akiratibu shughuli (liaison officer) za idara ya usalama ya East German iliyokuwa inaitwa Staatssicherhei (Stasi) pamoja na zile za KGB.

BACK TO THE TOPIC
=================
Mheshimiwa Majaliwa angemzawadia Rais. Putin vitabu vya kujifunzia Kiswahili ingeweza kuitangaza vema Tanzania na lugha yetu?
View attachment 1245467
Picha hapo chini ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.
View attachment 1245468
View attachment 1245473
Nimeuliza hivi kwa maana kwamba unapomzungumzia Vladmir Putin unakuwa umezungumzia one of the most powerful men in the world na unapoongelea Russia unakuwa umeongelea moja katika ya nchi 5 zenye ushawishi mkubwa sana duniani kisiasa na hata kiuchumi.

Kama tumeweza kumshawishi ndugu yetu Ramaphosa kujifunza kuzungumza kiswahili walau kile cha msingi tu, basi tunaweza pia kushawishi baadhi ya viongozi wakuu kabisa wa dunia katika kujifunza lugha hii adhimu kabisa na fahari yetu sisi watanzania.

KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

VODACOM MMEIBA IDEA YANGU.
Wenzetu wanasain nyuklia deal nyie mnaleta kiswahili ambacho hamna haki miliki yake sawa mnatanua wigo wakati TZ wengi insiders tofauti na nchi zingine mnafanya promo Kenya watapiga hela tu
 
Kwenye baadhi ya softiwea huwa pana uchaguzi wa lugha mbalimbali, kila lugha ikiwakilishwa na bendera ya nchi lugha hiyo izungumzwapo sana. Kiswahili kwa kawaida huwakilishwa na bendera ya nchi ipi? Hili ni eneo la kuliangalia nalo.
Swali zuri sana pia
 
Back
Top Bottom