Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Putin hana huo muda
Mna nondo mmezikalia matokeo yake tunaletewa ya Zari ndugu yake Tanasha.Ile nyumba inayotazamana na ya mzee Juma.
Aisee we kifaa kwa historia,andikeni vitabu mutuuzie hata soft copy,usikubali kufa kabla hujatuchia historia ya machache uyajuayo.Ile nyumba inayotazamana na ya mzee Juma.
ili magufuli aende Russia!Hata mimi huwa najiuliza sana, tzukitangaze kiswahili ili iweje?
Ahsante Ma'am hii historia ya kukaa Tanzania kwanini inafichwafichwa kwa maana stori zake naona zinaishia Ujerumani na baadae kwenda kuiongoza KGB ?
Nalog off
Du! tusamee ndugu maana sio kwa matusi hayoHicho kiswahili chenu mtakieneza kwenye hizo hizo shit hole countries zenu mnazoitwa kwa mafungu kupewa ahadi za msaada.
Sio Urusi, angempa angevichukua na kuvitupa kwenye dustbin
Maana mmezidi kuwa kama malaya, mnaitwa na Marekani wote mnaenda, EU wote mnaenda, China wote mnaenda, Urusi wote mnaenda, sasa watu mnaoitwa kwq mafungu mafungu hivi nani ajifunze lugha yako, ili iweje?
Kweli mkuuHicho kiswahili chenu mtakieneza kwenye hizo hizo shit hole countries zenu mnazoitwa kwa mafungu kupewa ahadi za msaada.
Sio Urusi, angempa angevichukua na kuvitupa kwenye dustbin
Maana mmezidi kuwa kama malaya, mnaitwa na Marekani wote mnaenda, EU wote mnaenda, China wote mnaenda, Urusi wote mnaenda, sasa watu mnaoitwa kwq mafungu mafungu hivi nani ajifunze lugha yako, ili iweje?
Tuwaombe watupe nondo kabla hazijafukiwa na vifusi tuwe tumezisomasoma.Mna nondo mmezikalia matokeo yake tunaletewa ya Zari ndugu yake Tanasha.
Kweli kabisaTuwaombe watupe nondo kabla hazijafukiwa na vifusi tuwe tumezisomasoma.