Russia accused Turkey of actively preparing to invade Syria


Microsoft

Microsoft

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
630
Likes
280
Points
80
Microsoft

Microsoft

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
630 280 80
Moscow (AFP) - Russia on Thursday accused Turkey of actively preparing to invade Syria, saying it had spotted troops and military equipment on the border with the war-torn country.


"We have serious grounds to suspect Turkey is in intensive preparations for an armed invasion of the territory of a sovereign state -- the Syrian Arab Republic," the defence ministry said in a statement.

Ankara said earlier Thursday that it had refused to allow a Russian reconnaissance plane to overfly its territory near Syria because of a disagreement over the flight plan.

Russia said Turkey had not given Moscow any clear explanation for the decision.


"Moreover, we are recording more and more signs of covert preparations by the Turkish armed forces for active action on Syrian territory," it said, adding that Russia has ramped up reconnaissance in the Middle East.


"So if someone in Ankara believes that the cancellation of the flight by Russian monitors would allow (them) to hide something then this is unprofessional."

The defence ministry, citing reconnaissance data, said Turkey had recently expanded a parking lot for heavy-duty trucks on the border as well two smaller parking lots in rebel-controlled Syria.

"Such sites are used to secure a quick movement of military columns containing ammunition and weapons to a theatre of operations as well as a fast transfer and evacuation of personnel," it said.

Moscow said it had recorded plenty of such examples at the Syrian-Turkish border "including the presence of troops and military equipment".

Russia also said it was surprised that representatives of Pentagon, NATO and human rights organisations in Syria did not issue any reaction.


The Turkish foreign ministry declined to immediately comment on the Russian claim.Uturuki ni mwanachama wa NATO,najiuliza maswali haya

1:Endapo Uturuki ataivamia Syria, Urusi itachukua hatua gani???kuongeza mashambulizi ya anga inayoyafanya Syria au Na yeye Urusi ataingiza wanajeshi Syria??!!

2:Uturuki ni mwanachama wa NATO, inamaana kama Urusi wataingiza wanajeshi Syria ili kumsaidia Assad hapa atakua anapigana na NATO indirectly??

3:Iran ni mshirika mkubwa wa Syria,nae response yake itakuaje??

==>Uturuki anajiamini nini maana Obama alitishia kupeleka wanajeshi kipindi kile silaha za kemikali zimetumika lakini hakupeleka,na naona mbinu ya kuwapa silaha waasi inashindwa kufua dafu kwenye airstrikes za mrusi,

Pia naona Marekani na washirika wake wanasua sua kuwapa silaha nzito waasi kama ant aircraft missile nk kwa kua Assad wakati machafuko yanaanza Syria aliamua kuwafungulia wafungwa wengi "extremists",nadhani alitumia uziefu wa libya akajua kinachofuata kwaiyo ilikua ni mbinu ya kuzuia waasi wasipewe support na west kwa kuwahofia extremists


Mwisho nadhani mgogoro was Syria unaingia katika sura mpya
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
1,833
Likes
1,411
Points
280
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
1,833 1,411 280
Ila waturuki nawaonea huruma aisee!!!,,,,,,,nchi yao ina watu wanaochukiwa zaidi duniani na bado wao wanataka kushindana na superpower RUSSIA?
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
8,573
Likes
9,930
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
8,573 9,930 280
Plan C ya U.S/NATO hiyo.
 
hamfcb

hamfcb

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2015
Messages
589
Likes
641
Points
180
hamfcb

hamfcb

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2015
589 641 180
syria saivi ni utata mtupu vita haiwez kuisha leo wala kesho coz kila nchi ina maslahi wake.
kwanza kuna wakurdi ambao ni kabila la watu ambao wako Iraq, iran, Syria na Turkey. kwa miaka mingi walikua wanadai uhuru wao kutoka kwa izo nchi 4 ila saivi maeneo yao mengi yameshikwa na isis.wakifanikwa kuipiga isis watakua wamejipatia nchi yao mpya (Kurdistan) ndani ya Syria na iraq

afu kuna russia wanawapiga isis, al nusra na vikundi vyote vinavoipinga serekali ya asad pia wanawaunga mkono wakurdi.

kuna iran huyu ni kama Russia ila wanahofu kama wakurdi wakipata nguvu sana Syria na iraq wataanza kudai uhuru ndani ya iran

afu marekani hawamtaki asad na pia wanawasaidia wakurdi kwenye vita dhidi ya isis.

Turkey huyu mshirika wa usa hawamtaki asad ila haiwataki Kurdistan ijitenge so wanaiunga mkono isis ili kuwadhoofisha wa kurdi

bado kuna Saudi Arabia ambao hawamtaki asad na wanatoa misaada kwa alnusra, FSA na vikundi vingine vinavopigana na majeshi ya Syria, Russia na iran
HII VITA NI KAMA MUVI FLANI
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,058
Likes
7,098
Points
280
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,058 7,098 280
syria saivi ni utata mtupu vita haiwez kuisha leo wala kesho coz kila nchi ina maslahi wake.
kwanza kuna wakurdi ambao ni kabila la watu ambao wako Iraq, iran, Syria na Turkey. kwa miaka mingi walikua wanadai uhuru wao kutoka kwa izo nchi 4 ila saivi maeneo yao mengi yameshikwa na isis.wakifanikwa kuipiga isis watakua wamejipatia nchi yao mpya (Kurdistan) ndani ya Syria na iraq

afu kuna russia wanawapiga isis, al nusra na vikundi vyote vinavoipinga serekali ya asad pia wanawaunga mkono wakurdi.

kuna iran huyu ni kama Russia ila wanahofu kama wakurdi wakipata nguvu sana Syria na iraq wataanza kudai uhuru ndani ya iran

afu marekani hawamtaki asad na pia wanawasaidia wakurdi kwenye vita dhidi ya isis.

Turkey huyu mshirika wa usa hawamtaki asad ila haiwataki Kurdistan ijitenge so wanaiunga mkono isis ili kuwadhoofisha wa kurdi

bado kuna Saudi Arabia ambao hawamtaki asad na wanatoa misaada kwa alnusra, FSA na vikundi vingine vinavopigana na majeshi ya Syria, Russia na iran
HII VITA NI KAMA MUVI FLANI
Duh kweli ngoma nzto
 
Microsoft

Microsoft

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
630
Likes
280
Points
80
Microsoft

Microsoft

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
630 280 80
hamfcb Saudi hajamaliza yemen sasa anataka kuingiza wanajeshi Syria.

After experience gained in Yemen, Saudi says it's set to send ground troops to Syria

Saud Arabia is prepared to deploy ground troops to Syria to fight the Islamic State of Iraq and the Levant (ISIL) if US-led coalition leaders agree to the offer.

Saudi's air force has targeted ISIL with air strikes since the campaign began in Syria in September 2014, but the Gulf kingdom is now ready to provide ground forces to defeat the armed group, a military spokesman said on Thursday.


"Today, the Saudi kingdom announced its readiness to participate with ground troops with the US-led coalition against ISIL, because we now have the experience in Yemen," Brigadier General Ahmed Asseri told Al Jazeera.
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,556
Likes
5,059
Points
280
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,556 5,059 280
russia c superpower
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,556
Likes
5,059
Points
280
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,556 5,059 280
RUSSIA is weak
 
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Messages
5,556
Likes
5,059
Points
280
nankumene

nankumene

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2015
5,556 5,059 280
lakini tunapoongelea superpower c tunangalia akote politically,economically na millitarilly..sasa naona na vijana wa putin hawajatimiza vyote vitatu hapo naona labda viwili ila hiki kimoja cha uchumi naona bado saanaaa
 
Sexer

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Messages
4,220
Likes
2,528
Points
280
Sexer

Sexer

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2014
4,220 2,528 280
Russia sio economic super power ila ni military superpower.
kama ni super power mbona analialia, kijiingiza mwenyewe kwenye mziki hivyo basi aucheze tu huo mziki, afu tusisikie kajitoa yeye aucheze tu hadi mwisho, yeye si superpower bana
 
mohamedidrisa789

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,018
Likes
1,004
Points
280
Age
30
mohamedidrisa789

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,018 1,004 280
awa warusi ni noma san we ingia you tube uwone jins isis wanavyopigw na mabom ya ajabu mpak wanayashangaa
 

Forum statistics

Threads 1,236,777
Members 475,220
Posts 29,268,100