Rushwa yatumika kupandisha watumishi madaraja Manispaa ya Moshi

Status
Not open for further replies.

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,038
2,000
Kwa wilaya ya Chato,
yupo Anaitwa Biko,
ni jeuri na nyodo kama mwanamke hadi anajicream,
hana weledi wowote lkn mdomo mchafu tu kam kawekwa pale kupamban kukwamisha wanaofatilia haki zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,915

Grace na mwenzake pumbavu sana hawajui watumishi ndo wateja wake wakuu dawa ya wajinga kama hawa nikumtafuta mtaani na kumtandika vibao
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,838
2,000
Punguzeni Majungu mfanyekazi kwa weledi, hizi tabia za Ufukunyunyu ndizo zimefanya Uchawi uendelee kuwepo Afrika. Kabisaaa unaaaacha kazi Ofisin unaenda ofisi ya mwenzako ili umrekodi???
Hivi kwanza wewe mleta mada ni jinsia gani??? Unaanzaje kumganda huyo mtoto wa kike kiasi hicho.... kama wewe ni jinsia Me ipo siku watakugeuzia kibao utashikishwa kesi ya kubaka au rushwa ya ngono.
Mkuuu hapa kuna mawili, wivu wa kimapenzi au Ugomvi wa Vyeo/madaraka kazini. Dai haki zako kistaarabu, usimchafue mtu pia tambua malipo ni hapa hapa duniani
 
Msweet

JF-Expert Member
Mar 26, 2014
2,314
2,000
Baada ya kuweka habari hii hapa sasa Manispaa ya Moshi kunafukuta. Tangu habari hii isomwe na ofisi ya utumishi Grace na Mary sasa wanahaha. Ili kujiokoa:
1) Watumishi wote waliopandishwa daraja hivi karibuni wameshushwa madaraja (Evidence ya nakala za kushushwa barua zipo ila naomba leo nisiziweke kuwahifadhi). Maswali yanayozuka ni kwamba kama kweli hawakuwapandisha kwa Rushwa kwa nini wawashushe baada ya makala hii?

2) Sasa Grace na Mary wamekuwa wakiwatishia walimu wanaohisi kuwa ndio wameandika habari hizi. Tayari wamewatishia maisha waalimu kadhaa. Wamesahau kuwa habari za madudu ya Mary tumeshayaandika toka zamani. Mfano harakati za Marry tuliziandika miaka mingi nyuma soma hapa: Marrystela afisa utumishi moshi(manispaa) na ombwe la uongozi.

3) Ndani ya siku tatu zilizopita nimefika ofisi ya utumishi na Grace akawa anawatuhumu walimu kadhaa huku akijiapiza kuwakomoa. Audio ya maneno yake ipo na kwa sasa namstahi ila akiendelea nitaiweka.

Ushauri wangu kwa Grace na Marry ni kwamba tulieni dozi iwaingie. Ni vema wajirekebishe na watende haki Vinginevyo tutaendelea kuwaanika.

Ndimi mtumishi wenu huru.
Hiyo link hapo juu Ni ya siku nyingi sana..... Hii Taarifa Haikufanyiwa kazi toka kipindi hicho??
 
RAISI AJAE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,283
2,000
Sio huko tu!Hapa UYUI KUNA MA HEADMASTER WAWILI WANA DIPLOMA WAMEWAHONGA MAAFISA ELIMU LAKI TANO ILI WAENDELEE KUWEPO!!
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
7,359
2,000
Punguzeni Majungu mfanyekazi kwa weledi, hizi tabia za Ufukunyunyu ndizo zimefanya Uchawi uendelee kuwepo Afrika. Kabisaaa unaaaacha kazi Ofisin unaenda ofisi ya mwenzako ili umrekodi???
Hivi kwanza wewe mleta mada ni jinsia gani??? Unaanzaje kumganda huyo mtoto wa kike kiasi hicho.... kama wewe ni jinsia Me ipo siku watakugeuzia kibao utashikishwa kesi ya kubaka au rushwa ya ngono.
Mkuuu hapa kuna mawili, wivu wa kimapenzi au Ugomvi wa Vyeo/madaraka kazini. Dai haki zako kistaarabu, usimchafue mtu pia tambua malipo ni hapa hapa duniani
Acha kutetea vitu usivyovijua wewe,mleta mada ametoa malalamiko yake hapa na baada ya mhusika kusikia ameshawashusha vyeo wale aliowapandisha kwa rushwa.

Sasa kama majungu kwanini awa shushe vyeo?halafu kuwa mwanamke hata kama anafanya uchafu aachwe tu?

Unajua Huyo unayemwita mwanamke kwa mamlaka aliyopewa anaweza kumharibia kabisa mtu future yake?

Kama ni majungu yatajulikama tu kwakua wapo waliopo huko nao watasema tusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,838
2,000
Acha kutetea vitu usivyovijua wewe,mleta mada ametoa malalamiko yake hapa na baada ya mhusika kusikia ameshawashusha vyeo wale aliowapandisha kwa rushwa.

Sasa kama majungu kwanini awa shushe vyeo?halafu kuwa mwanamke hata kama anafanya uchafu aachwe tu?

Unajua Huyo unayemwita mwanamke kwa mamlaka aliyopewa anaweza kumharibia kabisa mtu future yake?

Kama ni majungu yatajulikama tu kwakua wapo waliopo huko nao watasema tusubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulishwa pilipili manga na huyo mropokaji na hana maadili ya kazi. Kwa taarifa yako zoezi la kufuta Promotion Viza limefanyika NCHI NZIMA lkn huyo Mchonganishi kaliona Moshi tuu? Punguzeni majungu na huo muda utumieni Kuzalisha mali tutaifikia Tanzania ya Uchumi wa Kati. Anyway ngoja nishike jembe nikalime maaana usimwamshe aliyelala kama wewe. Majungu siyo Mtaji.
 
Bakangana

New Member
Jan 16, 2020
2
45
Baada ya kuweka habari hii hapa sasa Manispaa ya Moshi kunafukuta. Tangu habari hii isomwe na ofisi ya utumishi Grace na Mary sasa wanahaha. Ili kujiokoa:
1) Watumishi wote waliopandishwa daraja hivi karibuni wameshushwa madaraja (Evidence ya nakala za kushushwa barua zipo ila naomba leo nisiziweke kuwahifadhi). Maswali yanayozuka ni kwamba kama kweli hawakuwapandisha kwa Rushwa kwa nini wawashushe baada ya makala hii?

2) Sasa Grace na Mary wamekuwa wakiwatishia walimu wanaohisi kuwa ndio wameandika habari hizi. Tayari wamewatishia maisha waalimu kadhaa. Wamesahau kuwa habari za madudu ya Mary tumeshayaandika toka zamani. Mfano harakati za Marry tuliziandika miaka mingi nyuma soma hapa: Marrystela afisa utumishi moshi(manispaa) na ombwe la uongozi.

3) Ndani ya siku tatu zilizopita nimefika ofisi ya utumishi na Grace akawa anawatuhumu walimu kadhaa huku akijiapiza kuwakomoa. Audio ya maneno yake ipo na kwa sasa namstahi ila akiendelea nitaiweka.

Ushauri wangu kwa Grace na Marry ni kwamba tulieni dozi iwaingie. Ni vema wajirekebishe na watende haki Vinginevyo tutaendelea kuwaanika.

Ndimi mtumishi wenu huru.

Nikisoma naona kama vile unaandika hata watu wenyewe huwajui... Mary na Marystela ni watu wawili tofauti na mwingine hayupo hapo ofisini muda mrefu sasa..... jaribu kuwa specific na kuwa evidence based, nakujua taratibu za promotion na vitu gani vinatakiwa kuwa navyo zaidi mtabaki kuchafua watu hata ambao hawahusiki kwa sababu tu hujui unatakiwa kufanya nini...

Kuna wengine nyie nyie mnaenda kutoa rushwa na ili mishahara yenu iliokosewa ibaki mkikatiliwa mnakuja huku mnachafua watu kwa sababu wamekataa kupokea rushwa na mishahara yenu imebadilishwa..”Data cleaning”Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bakangana

New Member
Jan 16, 2020
2
45
Acha kulishwa pilipili manga na huyo mropokaji na hana maadili ya kazi. Kwa taarifa yako zoezi la kufuta Promotion Viza limefanyika NCHI NZIMA lkn huyo Mchonganishi kaliona Moshi tuu? Punguzeni majungu na huo muda utumieni Kuzalisha mali tutaifikia Tanzania ya Uchumi wa Kati. Anyway ngoja nishike jembe nikalime maaana usimwamshe aliyelala kama wewe. Majungu siyo Mtaji.

Kweli kabisa na Hiyo ni dalili kuwa hayuko informed na very possible hata sifa za kupanda hana... mana mwenye sifa na anae jitambua na IQ yake inafanya kazi vizuri kabisa hawezi kuja huku kuchafua watu.. bali atapeleka document zinazompa sifa ya kupanda katika ngazi mbali mbali... zinazo weza kufanya maamuzi...
Hii serikali haichezewi ameshindwaje kwenda kwenye mamlaka husika ambazo ni zaidi ya Manispaa kama kweli anasifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,915
2,000
Acha kulishwa pilipili manga na huyo mropokaji na hana maadili ya kazi. Kwa taarifa yako zoezi la kufuta Promotion Viza limefanyika NCHI NZIMA lkn huyo Mchonganishi kaliona Moshi tuu? Punguzeni majungu na huo muda utumieni Kuzalisha mali tutaifikia Tanzania ya Uchumi wa Kati. Anyway ngoja nishike jembe nikalime maaana usimwamshe aliyelala kama wewe. Majungu siyo Mtaji.
We grace na mwenzako jirekebishe tatizo katika halmashauri nyingi tz maafisa utumishi Wanajikuta kwamba wao ndo wao sasa mwaka mmoja afisa utumishi alitaka kucheza rough kwa wife katika halmashauri moja hapa tz nilimnyosha ki diplomatic mpaka akaomba msamaha.pumbavu sana so far mtumishi kama unadai chako na hujakiuka kanuni na sheria za utumishi wa umma hao jamaa wasiwababaishe na uyu grace na mwenzake pereka tahalifa takukuru kama mnao ushaidi was kutosha
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,838
2,000
We grace na mwenzako jirekebishe tatizo katika halmashauri nyingi tz maafisa utumishi Wanajikuta kwamba wao ndo wao sasa mwaka mmoja afisa utumishi alitaka kucheza rough kwa wife katika halmashauri moja hapa tz *nilimnyosha* ki diplomatic mpaka akaomba msamaha.pumbavu sana so far mtumishi kama unadai chako na hujakiuka kanuni na sheria za utumishi wa umma hao jamaa wasiwababaishe na *uyu* grace na mwenzake *pereka* *tahalifa* takukuru kama mnao *ushaidi* was kutosha
Rudi shule kwanza, unaanza kuongea habari za wife wako bila aibu huyo mke uliyenaye atakuwa ngumbaru tu kama wewe wachu.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom