Rushwa yashamiri wakati wa mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa yashamiri wakati wa mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mopaozi, Jan 30, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mgomo wa madaktari umepelekea kushamiri kwa vitendo vya rushwa kutokana na uhaba wa huduma jana ndugu yangu katoa laki ili apate huduma wasiokuwa na hela wanataabika na kuteseka!
   
 2. w

  waukweli mh New Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu ifike mahali iwe ina toa majibu yaku eleweka
   
Loading...