Rushwa uchaguzi wa UVCCM: CCM Rorya waelezea kuanzia mwanzo

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
5f89231a-8e5a-4d2d-aaf7-48f520373f4b-640x400.jpg

Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye ameahidi kuwafuta uanachama wagombe wa nafasi za Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ baada ya kunasa sauti za kupeana rushwa kwenye uchaguzi huo.

Akizungumza na Ayo TV na millardayo.com, Kiboye amesema, wamewahoji wanaodaiwa kufanya hivyo na baadhi yao wamekiri kuhusika, hivyo watachukuliwa hatua zinazostahili.
 
Naona Mbunge Nasari ameanza kuwafundisha viongozi wa CCM jinsi ya kurekodi tuhuma za rushwa. Tatizo la rushwa ndani ya CCM ni kama cancer ndani ya damu
 
5f89231a-8e5a-4d2d-aaf7-48f520373f4b-640x400.jpg

Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye ameahidi kuwafuta uanachama wagombe wa nafasi za Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ baada ya kunasa sauti za kupeana rushwa kwenye uchaguzi huo.

Akizungumza na Ayo TV na millardayo.com, Kiboye amesema, wamewahoji wanaodaiwa kufanya hivyo na baadhi yao wamekiri kuhusika, hivyo watachukuliwa hatua zinazostahili.
Wazee wa biashara ya madiwani wameanza kununuana wao kwa wao. Kweli tabia nikama ngozi, huwez kuibadilisha
 
Yakaisari ........ hivyo mtamalizana wenyewe

acha wauane wenyewe
 
Mwenyekiti ameshindwa kutumia vikao? Au mtu wake hakupita?
 
Adeki mwenyewe anatuhumiwa kwa rushwa sasa atawafukuza vipi Hao watoa rushwa wenzake?
 
5f89231a-8e5a-4d2d-aaf7-48f520373f4b-640x400.jpg

Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye ameahidi kuwafuta uanachama wagombe wa nafasi za Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ baada ya kunasa sauti za kupeana rushwa kwenye uchaguzi huo.

Akizungumza na Ayo TV na millardayo.com, Kiboye amesema, wamewahoji wanaodaiwa kufanya hivyo na baadhi yao wamekiri kuhusika, hivyo watachukuliwa hatua zinazostahili.
Hivi mkuu wa wilaya anaweza futa maccm uanchama kienyeji km anavyoweka watu ndani?
 
Mi naona hakuna tatizo kama wanaiga mambo mazuri kutoka kwa mwenyekiti wao

Back
Top Bottom